Nakupenda. . .Asante!!



Kweli kabisa,

Kuna dada tulikaribia kupeana talaka, kisa eti simwambii kuwa nampenda...

Babu DC!!
 


mwaka huu ni wako aseee!!!!!!!! effects za zombie zinakuandama connie!!!!!!!!! aksante ndiyo jibu sahihi , full stop.........mtu mwenyekujitambua hawezi kuzungumza asiyoyamaanisha.
 
ukiona kaka ,kaka kimbia kaka!
 
Mmh, I love you Babu DC(Mind you, sauti ni kavu kabisa na macho kodokodo)

Nasubiri majibu

 
hadi nitakapokuonesha mke wangu ndio utajua mie ni ke au me?
kama we wa kiume uje ulale kwangu leo,najitolea bikra yangu bure kwako usiku kucha .unanichanganya sana ujue hadi nakuogopa
 
hilo neno wengine tunalisikiaga kwa msimu, "msimu wa kuombwa radhi" mie sionagi kama linaongeza lolote mana linaweza likawa la "kusanifiana" pia.


ndiyo maana nikasema mahali kuwa wengine hilo na maneno mengine ya kuazima kama mfano I miss you, darling, bebi, honey...tulishamalizana nayo siku nyingi...

Siku hizi tunaitana majina yetu, na kama mtu ana lake jambo basi analembua sauti....mambo finito!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha ha, umeona eeh

Bora kumjibu asante tu, tena hawa watu wana viranga

Hivi hatuwezi kutangana nao sayari?(Nimepata hasira ghafla)

hilo neno wengine tunalisikiaga kwa msimu, "msimu wa kuombwa radhi" mie sionagi kama linaongeza lolote mana linaweza likawa la "kusanifiana" pia.
 
kama we wa kiume uje ulale kwangu leo,najitolea bikra yangu bure kwako usiku kucha .unanichanganya sana ujue hadi nakuogopa


Mhhhhhhhhhhhhhhh,

Itabidi babu anunue miwani ambayo itamsaidia huko mbeleni kuruka baadhi ya post??

Ndo ulipofika hapo Smile?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi, Waafrika hatupendagi?
Au huwa tunazuga hatupendi kumbe ndani ya mioyo twaungua?


Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....

Muulize Kongosho na zombie wake...

Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…