Badala yake anakupendea nini?
Mbona mie nawapenda wajukuu zangu wote?
Ila bibi sijue yeye nisemeji...ngoja kwanza nijikumbushe misamiati..lol!!
Babu DC!!
haina shida kama unaniambia kama dada......
lakini kama umetanguliza you are just a small boy then unakuja na I love you kwa nini nisikutoe balu?
Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.
Hivi ile dozi ya zombie haijaisha kweli? Au ndiyo mipangilio ya dating ya March 2013??
Naona hallucination zitakuua mwaka huu...lol!!
Babu DC!!
Mbona mie nakupenda bure bure tu
Tena upendo kama wa bibi na si wa wajukuu :dizzy::behindsofa::dizzy:
Tena inapoteza umaana kabisa
Afu baadhi ya wanamme bana, wako radhi waape upendo mkubwa kama kilimanjaro kwa ajili ya kufunua sketi tu, hapo hapo upendo kwishney
Kwani unamjua zombie ni nani?
Siri yangu, stay tunes kwa next episode
Namtaja hapa hapa hadharani
What else should they do??
Kwani simba akishakula anafanya kazi gani vile??
Babu DC!!
Kuna mbinu zingine za mafia ujue babu?
Simba kula nyama ni haki yake, lakini kwa mbinu zipi?
Kuna mmoja nilimwona anaapa mkewe mchawi, eti akidu na huyo mwanamke ndio anatengua ule uchawi wa mkewe, tena na machozi anatoa. Kumbe uongo hakuna lolote
Sasa huu si ni ugaidi wa mapenzi?
Kwani ulitaka kuwepo na kitu gani tena wewe Kongosho,
Ni ni memba mwenzetu wa 1947 club...
Kama unataka membership na vigezo unavyo, basi sema tukupe admission.
Babu DC!!
Inaweza ikakupa interest kumjua
Ha ha ha, you never know