Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Kumbe Babu Dark City unanipumbaza? Tangu jana umem-zombie @FP
Najinyonga kwa kweli
:A S cry::crying::crying:
Sitaki hongo, umemwaga mboga natamani kumwaga ugali
Kukubembeleza kote kule umemfungukia @FP? kweli moyo wa mzee msitu
nyie mnasemaje hapa? mbona jina langu halikauki vidoleni kwenu?ahahahahahhahah ULIKUWA HUJUI?
niulize miiiiimi!
ha haaa, lol! umenikumbusha wabibi wa chingoni, lol!unakumbuka kwadegesima!hapo bibi yangu anataka kusema kwaresima!
mwali si wajua mie mtuhumiwa wa babu Dark City aniita kisura kila uchao!\mweeeh! acha tu.
hivi mwali, mtu aweza kuwa kigori ilihali kazaa??
ha haaaa, lol!
hapa kwenye bold ndo unamkumbusha kuwa hii ni kwadegesma(wapi FP na chipole yake)
NAULIZA TUU!
Kama humaanishi je? Unasema tu? Akikugeukia zombie baadae?
yewo kamwaali!Dada kumbe nawe kagomvi gomvi eeh???
Btw; nikuwoni!
Kama humaanishi je? Unasema tu? Akikugeukia zombie baadae?