Nakuombea maisha mema....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakuombea maisha mema.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jul 24, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali: hizi kauli huwa zinatoka moyon? Au ni kinyume chake? Nawasilisha
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hee heee
  sio wote husema hivyo

  wengine huwa wakweli zaidi

  utasikia haya nenda kwa huyo anaekuzuzua
  na ukiachwa huko usirudi hapa,huna shukrani kabisa lol
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,187
  Trophy Points: 280
  Zinaweza kabisa kuwa zinatoka moyoni. Si kila "muachwa" humtakia mabaya yule aliyemuacha na kumbuka pia wengine baadaye hurudiana baada ya kugundua makosa yao, kama tunaweza kuyaita makosa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. The great R

  The great R Senior Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inategemea mmeachanaje, me cjawahi kumuaga mtu,nahakikisha anajua kosa/kinachotuachanisha then i leave without a word
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Bado unapendwa hapo!!! otherwise asingekutamkia hivyoooo
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mwingine utasikia kasilize wimbo wa Vumi- utanikumbuka
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  LOL Chimunguru not necessarily bana lol.......... eti bado unapendwa> Wengine hayo huwatoka genuinely kabisa na anakuwa anamaanisha toka moyoni bana. Ingawa kuna wengine huyatoa kama laana flan hivi mwe.
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  utanikumbuka husemwa sana kana kwamba ni lazima kumkumbuka mtu. Mara utasikia et bwana uliyempata anakudanganya.
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Hapo ndoa bado ipo sana, kwani kuachana huwezi kupata hata muda wa kuagana, mnafanya utani na kuachana eeeh.
   
 10. s

  shalis JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndhani upo sahihi sana
  no time ya kuaga sijui nin
  yan kuachwa no mazungumzo maana ile hali mtu unayokuwa nayo
  lolol msinikumbushe unatamani kuhama dunia for a while..
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole, kuachwa ni shughuli pevu by Khaleed Chokoraa
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Your not fair!
   
Loading...