Nakula pd - proxy kimya kimya......tena kwa basi jipyaaa

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
774
Points
250

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
774 250
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
 
snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
4,149
Points
1,250

snipa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
4,149 1,250
ma reseller si unawajua ndugu yangu,
mbona unataka kuwaumiza watu Vichwa hasa wasiojua open rpot hata moja,
achen ki2 hyo bwana kama mmejipanga kula kimya kimya,
basi msije hapa kuwapa watu presha.. Just PM resellers,
.
Hivi mnawaumiza sana hawa
CONNECTED BUT LACK ACCESS
.
 
Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,766
Points
2,000

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,766 2,000
Sioni mantiki ya hii thread yako kuletwa hapa, kama ulichokiandika hapa ndo kilikuwa nia yako ungewa-PM hao ma-reseller kwa sababu wanajulikana kuliko kuja hapa kutujazia ambazo hazikulazimika kuja hapa, halafu kitu kingine unahisi kama vile watu watakunyenyekea kama unavyoamini but believe me kama watu watafanya hivyo mimi nawa-subject hao watu kama watumwa wako. Anyway mafanikio mema mkuu
 
SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
774
Points
250

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
774 250
kaka kuwa mpole ...uta elekezwa na reseller wako tuliaaa mkuu halaka ya nii we mbane reseller wako...soon utana watu wakuu wana cheka tena.. ngoja tufate protokali mkuu
ma reseller si unawajua ndugu yangu,
mbona unataka kuwaumiza watu Vichwa hasa wasiojua open rpot hata moja,
achen ki2 hyo bwana kama mmejipanga kula kimya kimya,
basi msije hapa kuwapa watu presha.. Just PM resellers,
.
Hivi mnawaumiza sana hawa
CONNECTED BUT LACK ACCESS
.
 
SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
774
Points
250

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
774 250
sawa huo mtazamo tu.. naamini na wewe siku tatu zijazo utakuwa member wa hao wanao cheka. kuna reseller wengi mi nawajua watatu tu
Sioni mantiki ya hii thread yako kuletwa hapa, kama ulichokiandika hapa ndo kilikuwa nia yako ungewa-PM hao ma-reseller kwa sababu wanajulikana kuliko kuja hapa kutujazia ambazo hazikulazimika kuja hapa, halafu kitu kingine unahisi kama vile watu watakunyenyekea kama unavyoamini but believe me kama watu watafanya hivyo mimi nawa-subject hao watu kama watumwa wako. Anyway mafanikio mema mkuu
 
SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
774
Points
250

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
774 250
sijui watu mnatakaje au unataka niweke hapa halafu wiki mbili ifungwe? mimi niwatafute mareseler mimi ninashida ya kuuza au wananipa senti ngapi.. nia ya kuweka hapa ili wewe ufahamu kuwa there is still hope kwa wakuu wote na pia maresseler wafahamu wote mwisho watu wote wanao paswa kujua wajue hii kupitia resseler wao... na mimi siwezi weka hapa na sina muda wa kujibu PM zote za JF. hujafikiria hilo?WAHEED SUDAY
 
foshizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
376
Points
0

foshizzle

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
376 0
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
Mkuu ulikua umepotelea wapi?. karibu sana.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000

Technology is very wide
PD has been there miaka ile kwa BASI la kijani lkn waliusoma mchezo and nobody knew anything kama kuna hack ya DAVO inawezekana Via PD proxy mpaka Kijana Saleh Rashid Telecomm Expert alipodaka Loophole
Hivo mkuu sharobaro utakuwa umeokoa JAHAZI na much respect kama ni kweli
 
SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
774
Points
250

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
774 250
kweli kaka tena hadi mtandao wa HEWA tel unakubal UKICONNECT kwa ICMP ila kwa line za post paid ambazo wakuu nahisi wachache wanazo. au kama mtu HAKUTUPA ile line ya zaina kabla hajawa HEWA tel inaconnect safii kwa icmp na c udp
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000
kweli kaka tena hadi mtandao wa HEWA tel unakubal UKICONNECT kwa ICMP ila kwa line za post paid ambazo wakuu nahisi wachache wanazo. au kama mtu HAKUTUPA ile line ya zaina kabla hajawa HEWA tel inaconnect safii kwa icmp na c udp
Wadau wanadai hata ukiweka Kifurushi cha yatosha cha 2999/- hamna MB inakatwa hata kidogo lkn kwa port fulani hivi
 
snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
4,149
Points
1,250

snipa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
4,149 1,250
kaka kuwa mpole ...uta elekezwa na reseller wako tuliaaa mkuu halaka ya nii we mbane reseller wako...soon utana watu wakuu wana cheka tena.. ngoja tufate protokali mkuu
.
kaka sina maana kama hiyo hata kidogo, nawala kamwe situmii pd/TG; na wala siwajui ma reseller, bado
ndo nimemwona Mwl.RCT na wamavoko sijui kama kuna wengine
nahisi niishie hapo
ila hata siku moja siwezi nikakubali kuwa CONNECTED alafu ni LACK ACCESS
Kamwe sitokubali KAMWE
hawavumi lakini wapo...............
.
sina cha ziada mkuu niishie hapo mana nili jaribu kukubadilisha mawazo kidogoo
sijui kama kwa upande wako umeona sipo sahihi
NATANGULIZA
:A S-confused1::A S-confused1:
 
ilonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
1,007
Points
1,500

ilonga

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
1,007 1,500
PD proxy inapiga mzigo kwa basi fulani,ila mwendo kasi ni mdogo na mtandao unakatakata sana. Nilikuwa naitumia huku nikisubiri wataalamu wafungue njia kwa basi lililoziba barabara. Lkn sikuja kuyamwaga hapa kwakuwa tunajifunza kutokana na makosa. "magiwiji" na "wataalamu" walioanika ports hadharani wakadai ni rahisi kupata mpya,zilipofungwa na wao wamepotea. Hizo mambo mtoa mada ungewapa resellers kimya kimya,na wao wangetutafuta kimya kimya mambo yakaendelea. Ni mawazo tu.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000
.
kaka sina maana kama hiyo hata kidogo, nawala kamwe situmii pd/TG; na wala siwajui ma reseller, bado
ndo nimemwona Mwl.RCT na wamavoko sijui kama kuna wengine
nahisi niishie hapo
ila hata siku moja siwezi nikakubali kuwa CONNECTED alafu ni LACK ACCESS
Kamwe sitokubali KAMWE
hawavumi lakini wapo...............
.
sina cha ziada mkuu niishie hapo mana nili jaribu kukubadilisha mawazo kidogoo
sijui kama kwa upande wako umeona sipo sahihi
NATANGULIZA
:A S-confused1::A S-confused1:
Red ya kwanza unaweza usitumie PD/TG lkn utumie MeteorVPN au SandwichVPN au Wi-Free au Any Tunneling Software
Point ya Pili bei Ya VPN ni CHEAPER ever 8000/- 10,000/= unakamua mwezi mzima bila KIKOMO hata TERABYTE utashusha kwenye external HDD yako Hivo unachagua moja tu 12,000/= ya Unlimited ya DAVO/week au 10,000/= Kwa mwez mzima ikitokea jari una-pause account ikipatikana technique mpya una-unpause unasongesha gurudumu
Hivo hiyo attitude yako kuwa makini nayo isije kuwa Imparted kwa watu wengine

HAPA TUNAANGALIA HOW MUCH COST YOU MINIMIZE kwa Mieezi sita maana kila trick inayoibuka lazima isurvive 6 months hivo utachagua kulipa 48,000/=*6months
Au uunge bando za Gero kila siku afu zidisha miezi sita utapata hela ndefu
Kumbe mwiho wa siku BORA mara 100 utumie VPN ambayo pamoja inawweza igome moja lkn nyingine iendeleee lkn kwa miezi sita utakuta umetumia 60,000/= kwa internet

So TO SAY KITU PRICE YAKE IKO FAIR NDO MAANA HAUJAMUONA HATA KIUMBE MMOJA AKIAANDAMANA KUDAI ARUDISHIWE HELA MAANA WANAJUA FIKA KUWA HII HUDUMA INAMINIMIZE COST POTELEA MBALI ITAGOMA AFU ITAREJEA TU
BY THE WAY WE ARE STILL BLAZING WITH TUNNELGURU shida inakuja kama umekariri VPN moja au mbili kumbe kuna ya tatu inafanya kazi Do all you can and minimize Internet cost hakuna utakapo juta

VPN/PROXY FOREVER
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000
PD proxy inapiga mzigo kwa basi fulani,ila mwendo kasi ni mdogo na mtandao unakatakata sana. Nilikuwa naitumia huku nikisubiri wataalamu wafungue njia kwa basi lililoziba barabara. Lkn sikuja kuyamwaga hapa kwakuwa tunajifunza kutokana na makosa. "magiwiji" na "wataalamu" walioanika ports hadharani wakadai ni rahisi kupata mpya,zilipofungwa na wao wamepotea. Hizo mambo mtoa mada ungewapa resellers kimya kimya,na wao wangetutafuta kimya kimya mambo yakaendelea. Ni mawazo tu.
hapo kwenye BOLD uenda hilo ni basi la kijani ambalo lilipata ajari enzi zile kwa kuanza kukata kata
Mm navyojua hamna kupata tena tundu la DAVO maana wakishashtukia wakaziba UDP port basi ujue hautopata tena UDP port nimescan port za davo all night zaidi ya computer tatu kwa wakati mmoja lkn hakuna hata moja imenambia wala Open port xxx found....so to say all UDP ports in DAVO are closed...The only remaining OPEN ports are TCP ports ambazo ni lazima kila network ziwe open lkn zinaitaji HTTP headers ku-bypass hawa jamaa wa mitandao

Hivo Kuhusu basi lilopata jari kama KWELI port walifunga kwa makusudi na kwa ufahamu basi hamna kupata tena UDP port chakufanya kumbe nikuamishe TRICK ya TCP inayofanya kwa TunnelGuru na kuileta kwa PD proxy ILI kuirudishia heshima PD proxy

ABOVE ALL PD PROXY CUSTOMER SUPPORT IS VERY POOR NIMEWATUMIA EMAIL YA ALTERNATIVE AMBAYO BILA WAO HATUWEZI PATA CONNECTION LAKINI HADI WA LEO HAWAJAJIBU KITU CHOCHOTE NA WEEK IMEPITA
 
ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,710
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,710 2,000
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
long time no see you dude..

unaonekana kimatukio tu..
 
kontronoma

Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
93
Points
125

kontronoma

Member
Joined Jan 20, 2012
93 125
Technology is very wide
PD has been there miaka ile kwa BASI la kijani lkn waliusoma mchezo and nobody knew anything kama kuna hack ya DAVO inawezekana Via PD proxy mpaka Kijana Saleh Rashid Telecomm Expert alipodaka Loophole
Hivo mkuu sharobaro utakuwa umeokoa JAHAZI na much respect kama ni kweli
.kwan mkuu njunwa c ulsema una sln? Japo haijanifikia nna wiki ya pili hapa kwann tctumie yako halaf ya huy tutatumia kama yako itafungwa?.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000
.kwan mkuu njunwa c ulsema una sln? Japo haijanifikia nna wiki ya pili hapa kwann tctumie yako halaf ya huy tutatumia kama yako itafungwa?.
Mbona watu washaanza kula bata japo ina weakness moja mbili...hii yangu ina by pass hivo ni vigumu kufungwa...tembelea FB page ya TG utakuta mambo huko na namba zangu
 
chrisman49

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
336
Points
225

chrisman49

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
336 225
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
nna wasiwasi na aina ya ubongo wako ....lazima hauko sawa....vitu vya kijinga hivyo unaleta humu ..kama huwez kaa kimyaaa kwani umeombwaa?????
 
Forum statistics

Threads 1,391,018
Members 528,344
Posts 34,070,412
Top