Nakula pd - proxy kimya kimya......tena kwa basi jipyaaa

nna wasiwasi na aina ya ubongo wako ....lazima hauko sawa....vitu vya kijinga hivyo unaleta humu ..kama huwez kaa kimyaaa kwani umeombwaa?????

Ndo ubovu wetu hapa JF mtu anastrive kutupa trick wengine wanaanza kutokwa na povu...kwan mwenyewe umeombwa kuchangia????
 
Itafika wakati Watanzania,
Itabidi mjue ku Force Closed port, na kuna port nyingne lazima ziwe open,
ila ku access inabidi akili ya ziada sana
.
Ni ki2 cha ajabu sana,
eti m2 kukubali, kuwa CONNECTED at Zero tsh,
alafu ushndwe ku access kwa hawa ma ISP wa Tz,
.
Na ma ISP wetu Tz hawabani sana,
Tuumize vichwa!

your contribution will be appreciated kaka
ukiweza saidia maana tumezidiana a way of thinking
 
Kuna bas flani hv chai maharage la kijani!! lipo speed tu ila kila baada ya DK kama 10 hv linasimama kituoni!!
Ila kiaina lisave, coz bado nashusha maGB tu SIELEWI mie!!
 
Kuna bas flani hv chai maharage la kijani!! lipo speed tu ila kila baada ya DK kama 10 hv linasimama kituoni!!
Ila kiaina lisave, coz bado nashusha maGB tu SIELEWI mie!!

Tupe mwanga unaweza vipi kudhibiti lisizime injini kila baada ya Dakika 9 maana auto disconnect haifuidafu pale
 
Back
Top Bottom