Nakukemea Freeman Mbowe

Alitukanwa sana, na faraja yake pekee ni kuona mnashindwa ili mumuombe awasaidie.
Kazi ipo.
 
Mbowe amesitaafu lini ujumbe wa kamati kuu?
Kastaafu uongozi. Kawapa nafasi viongozi wapya waongoze bila kuingiliwa. Kuna shida hapo? Angejitokeza kusupport chochote hadharani mngemtusi tena ati muda wake umekwisha. Acha ikae hivyo. By the way, kwani ninyi chawa mmeshindwa kumsaidia mwenyekiti?
 
CHADEMA ni Nini ?

Ideology ?
Mkusanyiko wa watu wenye Misingi / Fikra zinazofanana ?
Logo, Maneno / Brand ?
Individuals ?
Adui, Mshambuliaji wa CCM ?
Au Individuals na Personalities ?
Mawazo ya kiongozi wa wakati husika ?

Nadhani Chama kikiwa ni Ideology (haya mengi yangekuwa hayatokei sababu fikra na misingi haibadiliki na yoyote anayeingia ni kutimiza fikra hizo
 
Imewekwa kiporo

CCM bana! Yani mnaonaga watanzania wote wajinga sana na haya mambo hawajui hata chembe, imewekwa kiporo kutishia au iweje? Watu wazima tunajua mkubwa hakubali makosa na mama analindwa kwa hili boko, hamna lolote la maana ilikua ni kesi ya kubumba mkafikia mahali mmegota na kuepusha aibu mkaitoa! Kila kitu kilikua ni uonevu na kisingefika kokote.

Mnajiona mna akili sana kuliko mtu yeyote ndani ya nchi
 
Shetani mzee huyuu anaweweseka na hajui wananchi ndio wenye chama hahahaaa mirijaa ya helà imedondoka

Mafia team
 
tl ni mbisafisi sana
 
M
Sawa. Bei ya kulaza mgonjwa mmoja pale muhimbili ni elfu 50 kwa siku. Ccm wanajua na raisi anajua. Wewe mwenyewe unajua. Badala ya kuhoji haya unafikiri chasema ikifa ndo bei ya kitanda muhimbili itashuka????
Jitafakar, adui wa watz siyo lisu ni ccm
Mwache mwenyekiti apumzike. Wakati mnamtukana hamkujua kuwa kuna kesho? Mmemshushia heshima yake kwa jamii kwa sababu ya mihemuko yenu tu. Kaeni kwa kutulia.
 
Unamlaumu Mbowe kwani yeye ni nani? Kwani wajumbe wengine wa Kamati Kuu wamefanya nini ambacho Mbowe hajafanya? Kwanza taarifa zinasema alikwenda kumtembelea Lissu korokoroni. Nanyi mlivyo na midomo michafu, badala ya kumpongeza mkaaanza kumlaumu eti ameenda kumuhonga! Wajinga na Wapumbavu ninyi na Lissu wenu. Mwache aipate fresh!
 
Reactions: RMC
Kabisa halafu hii CHADEMA ya wajinga akina Lisu mbona wanahangaika na Mbowe wameshashika uongozi waachane naye waendelee na ujuaji wao

Team Lisu shut up Leave Mbowe alone
Mind your own business
 
Wafuasi wa Lissu ni wapumbavu mno. Mbowe kashastaafu na alitangaza hadharani anarudi kwenye biashara zake ila nyumbu mnataka aendelee kuwa active kwenye siasa.
Maji yako shingoni.Lisu aliwadanganya kuwa makao makuu kuna pesa nyingi akishika atazifikisha matawini

Kuwa zinaliwa na team Mbowe.Toka ashike miezi sita imepita hajapeleka hata mia matawini iwe pesa ya ruzuku au tonetone

Lisu Aliingia kwenye uongozi kwa ghiliba na uwongo
 
Wakati tunaimba humu kuwa mbowe ni muhuni mlitupinga kwa nguvu zote nilipo sema kifo cha ben saa 8 mbowe ni mtuhumiwa no moja watu mkabisha sana ...nilipo sema kuwa baada ya kifo cha jpm, mbowe hataki hata kusikia jina la ben saa8 tena ukilitaja katibu yake anaweza kata kukupiga makofi ...mkapinga mkasema mimi ni muongo.
 
Lissu amemtaja aliyetaka kumuua zaidi ya mara 100, wewe bado tu unaleta chuki kwa FAM?Mzee wa watu kapumzika lakini bado mnamlilia. Mmebaki yatima eeh?
Lissu ajui walio taka kumuua japo naye kwa sasa ameanza kutambua mchezo aliochezewa na ccm walio kinyume na jpm na chadema wenzie ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…