Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,601
Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.