Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Watu kama hao size yao wanyaki... kun'gorosya mpka ikugoroka ulwa nsebho. Ugwangu une agorwike.. unkino ndikuloonda une. Natamani Latoya tungemgawia kaujasiri ketu.
Hahaha ila wanyaki bana, kwa kweli namshukuru sana Mungu kunipa damu ya kinyaki huhuhu. Hakuna kitu kizuri kama mtu kuwa na msimamo
 
Duh mambo mengine bwana from all your comments it shows clearly you are still in love sema bado unafichaficha kwanza kwa saiv ama nseme kama you dont know what u want sasa jamaa amekuja kukusaidia na not very long mtakua mko in bed but if u allow this to happen you will show yourself to him ur cheap woman ...but ukionesha msimamo wako kama ni mwanume kamili ataheshimu hilo na next time atakuja kwa adabu ...
 
Hivi brod unavyoona huyo mwanaume ni amejirudi kweli? Mbona hana adabu sasa? Mtu aliyefanya kosa akajutia hawezi kurudi kwa ubabe huo. Ningemuelewa kama angepiga simu nakuja kumuona mtoto tena muda convenient na akaja na mtu wanayemuheshimu akaomba msamaha kwa kumsusa mtoto na mengineyo, kwa kweli hata me ningemfikiria kidogo. Lakini unapiga simu tu siku " nakuja kulala" kwa ubabe as if unarudi home kwako kutoka kazini, akalale hapo yeye kama nani kwa mfano?. Mmh ajifunze kurudi kwa adabu....... Anyway maamuzi ya mwisho kayabeba mwenyewe latoya
You're right my girl, lakini approaches zinatofautiana. Sio wote wana ethics za namna hiyo, mfumo dume bado upo sana kwenye jamii yetu.

Mimi namshauri aangalie approach ya mzazi mwenzie, the history is written between them, hawezi kuifuta. Atafute njia sahihi, kama mzazi mwenzake amejifunza kupitia makosa, amsamehe with conditions.
 
Yan latoya , watu wanavyokushauri na majibu yako haviendani kabisa.
Inaonesha wazi unapenda na kumvulia upo tayar kabisa.
Ningekua wewe, nimgemleta rafk angu Wa kiume azuge kuwa ndo wako Wa sasa hv.
Ila bas akili hatufanani.
Na ninakwambia, watu tuna hasira hapa, unamshauriwa lakini unajitia ujuaji na visababu vya kijinga.
 
Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.
Afu na wewe acha mashauz bac mamdgomamdgo inamaana huwez toa maamuz coz ya mamdgo naungana na wanaosema hauko siriaz bado unamfeel jmaa na akija akugonga kwli!!!!
 
simple tafuta rafiki wako wa kiume aje apo akusapot..maana jamaa anajua huna bwana kupitia source yake..
just prove him wrong..na kama huna dick call ( sisi tunaitaga booty call ) bas uz an ugly pieece,,lol
 
Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.
Unamtunzia heshima kweli usisumbue watu kumbe bado unamtaka kwa hiyo endelea hivyo hivyo kumtunzia heshima kwa mama mdogo mwache tu agegede
 
Hivi unajua wewe hujitambui, na umeshapoteza muelekeo.una miaka mingapi kwanza[emoji53] .

Embu subiri mechi ya ubarikio wa mtoto hapo usitupotezee muda.leo utapigwa mti kwa hiyari yako ni jamaa akifika tu.
Na kwli mkuu nafatilia majib yke hta mi cmuelew anatuchora tu yaan kila kitu mamdogo??anatania hajatendwa hyu full usanii!!!
 
No simpi nimeamua ntalala sebuleni,ntakesha nawatch movies tu
Kweli umelegeza masharti toka kusema haiingii chumbani hadi kulala sebureni unaangalia movie? Hahaha dear upo au ndo mambo flani kwa Baba mtoto.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Light imekuponza natumai saa hii ushapata ujauzito mwingine hongera[emoji308] [emoji308] [emoji308]
 
"Honey umekuja kunianika huku wajameni! Mbona nshatext siji tena!"
 
Yan latoya , watu wanavyokushauri na majibu yako haviendani kabisa.
Inaonesha wazi unapenda na kumvulia upo tayar kabisa.
Ningekua wewe, nimgemleta rafk angu Wa kiume azuge kuwa ndo wako Wa sasa hv.
Ila bas akili hatufanani.
Na ninakwambia, watu tuna hasira hapa, unamshauriwa lakini unajitia ujuaji na visababu vya kijinga.

Am serious bana,hiyo stage ya hasira nshaivuka kitambo ndomana najibu easy tu.
 
You're right my girl, lakini approaches zinatofautiana. Sio wote wana ethics za namna hiyo, mfumo dume bado upo sana kwenye jamii yetu.

Mimi namshauri aangalie approach ya mzazi mwenzie, the history is written between them, hawezi kuifuta. Atafute njia sahihi, kama mzazi mwenzake amejifunza kupitia makosa, amsamehe with conditions.
Eeh brod umenimalizia maneno yangu ulivyomention tu "mfumo dume".Ila sometimes "attitude" matters a lot, mtu anakosea afu anaact as if nothing happened daah. Mie kwa huo mfume dume wake sijui kwa kweli. Uzuri latoya anamjua mtu wake vizuri, so kama yupo hivyo atakuwa ashamzoea na atajua anachomaanisha kama he is back for good au anapita tu njia tena
 
Kweli umelegeza masharti toka kusema haiingii chumbani hadi kulala sebureni unaangalia movie? Hahaha dear upo au ndo mambo flani kwa Baba mtoto.

Hahahah nilikuwa namkamulia baby maziwa ya kesho,wajua ukiwa na stress hayatoki,that's y am happy.
Nalichukulia easy tu hili suala,msimamo wangu ni huo,hatokaa aniumize tena.naenda lala ,nimewambia akija wampokee amwone mwanae then asepe,kesho natakiwa kulijenga taifa.
 
Na kwli mkuu nafatilia majib yke hta mi cmuelew anatuchora tu yaan kila kitu mamdogo??anatania hajatendwa hyu full usanii!!!

Maumivu yale niliyopata siku ile,yalinifungua macho,ila sina kinyongo naye.na atabak kuwa baba wa mwanangu bt kunifunua tena,haitokaa itokee.
 
Duh mambo mengine bwana from all your comments it shows clearly you are still in love sema bado unafichaficha kwanza kwa saiv ama nseme kama you dont know what u want sasa jamaa amekuja kukusaidia na not very long mtakua mko in bed but if u allow this to happen you will show yourself to him ur cheap woman ...but ukionesha msimamo wako kama ni mwanume kamili ataheshimu hilo na next time atakuja kwa adabu ...

No,sisi ni wazaz na halitobadilika.hasira hukaa kifuani kwa mpumbavu.ila hana access na mwili wangu tena,iliisha that day nimemkuta na mwanamke wake.
Na maneno makali mlonirushia humu Jf yalinijenga,am more than sure hatokaa aniguse.
 
Maumivu yale niliyopata siku ile,yalinifungua macho,ila sina kinyongo naye.na atabak kuwa baba wa mwanangu bt kunifunua tena,haitokaa itokee.
Sorry, wewe dini gani???? Kabila pia??
 
Wewe unaonyesha ni mdhaifu.Na jamaa anajua wewe ni mdhaifu.inawezekana anajua wewe ni mama huruma
 
Back
Top Bottom