Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

No simpi nimeamua ntalala sebuleni,ntakesha nawatch movies tu

Yanini kujitesa mpaka ukeshe ukiangalia movie!!!!

Eti kama kuna kitu cha kuleta nambie nilete. Yani hajui anatakiwa kuleta nini kwa ajiri ya mwanae!!!! Kazi unayo
 
  • Thanks
Reactions: nao
Unaweza kumpa nafasi nyingine, only if he bears with your conditions. Siku zote naamini malezi ya wazazi wote ni mibaraka kwa watoto. Kama anarudi, anaomba msamaha, give him another chance.

Tatizo ni moja tu, unaweza kumsamehe na kumpa nafasi hapo hapo. He'll destroy you, msikilize, kama amekuja kwa wema na anahitaji kuwa baba aende kwenu akafuate protocol zote.

Huwezi jua, labda anajutia dhambi zake.

No chiz huwa haponi.
 
Mama yako mdogo na house girl sio tatizo,hao ni backup yako, ikiwezekana omba jirani mmoja au wawili wa kiume waje hapo, mpige story na kinywaji mpaka kuche. Mzazi mwenzio akileta kelele mumbebe muende akahifadhiwe kituoni.
 
Huko kukosa msimamo ndo mana hakutaka ndoa na ww mimi napenda demu akiweka No ni No sio demu haeleweki eleweki yani hana msimamo ni ovyo sana

Jaman kosa langu nn?
Sijamwita,sijamtafuta.
Nimemwambia asifike kwangu.
Wap niliposema yes?
 
Latoya I wish ningekudonetia Hutu tu - genes twa kinyaki kidogo. Huyo bwana usipokuwa na msimamo hutokuja ukae kwenye mahusiano na mwanaume mwingine yeyote. Kwa huo ubabe mbinuko wake atakuchezesha segere anavyotaka.
.Kwanza usimruhusu kuja nyumbani kwako, akitaka kumuona mwanae mkutane nje huko.
.Na mkubaliane kabisa muda maalum wa kumuona mwanae, sio saa 5 usiku ndo anajifanya kuja kumuona mtoto, hakuna hata kumfungulia mlango, akwendreee.
.Mpe na picha za mtoto za kutosha, akimmiss kama ni usiku sana atamwangalia kwenye picha.
. Na kama anakupigia simu kwa ajili ya mtoto, apige simu muda mzuri sio saa 5 usiku mtoto mwenyewe kashalala. Hata kama hutokuwa na mahusiano mengine, please usimruhusu huyo baby daddy wako akutawale.
Ndagha kikolo ujobhile syosa. Actually akianza ku mu entertain mzazi mwenzie anaweza akahamia kabisa. Baadhi ya wanaume hawana adabu, ukimchekea anakugonga then ataendelea kukudharau na kukuona uko cheap. Anaona anaweza akakuacha na kukurudia kwa kadri atakavyo.
Latoya be strong, u have had enough of his drama. Akija muonyeshe uso wa kazi, asalimie hiyo mbegu yake then akisepeshe. Hata maji ya kunywa usimpe... akalale huko mbele kwa mbele. asikuwekee usiku. Kwani siku zote huwa analala wapi mpaka atake kuja kulala kwako leo?
 
Hajafika,kapiga kakuta nimembloc,akanitumia sms yuko kwenye jam,afu eti ananituhumu kwann nimembloc,kama niko na kijamaa nikiambie kiondoke kabla hajaja.hapa najichekea tu,kama movie vile.
10...9...8...

Kila la heri, usisahau kinga
 
single mothers shida kweli kumbe, pole lakini,
 
No chiz huwa haponi.
Hapana, mzazi mwenzio hawezi kuwa chizi. He just gave you a king to be proud of. Hizo mara nyingi ni tabia za vijana wengi kukataa watoto, lakini mwisho hujirudi na kuwa wazazi wema tu.

Let him be a father to his son.
 
Latoya!!!utatafunwa kiulaini endapo utamruhusu aje kwako!!simply mwambie muonane kwa dokta
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
I suggest you give him the "taste of own medicine" thing..

Find a guy (he could be any friend of yours) who will act as your MAN.

Then, mwache jamaa aje kumwona dogo. Atamkuta msela kajaa fulu kwny koch.

You'll see kama atadai kulala[emoji6]
 
Mtoto wa bata tangu lini dume bata aksema ni mwanaye? Kama ni mbegu ungeliweza kuipatia hata kwa mrija. Kwanza futa akilini kuwa uliwahi zaa naye. Pili, kwa kuwa umesema na ma mdogo yupo na mtoto wa kazi, timu ya watu 3 dhidi ya 1 tu mnaogopa nini?? Waambiye wasipo kulinda leo, nao asubuhi usiwaone, ndipo uite polisi.
Mkaribishe sebuleni, mwulize anachokitaka. Akisema amekuja mwona mwanaye, mwambie aende ustawi wa jamii. Kwisha. Akinyoosha mkono kumsalim boy wako mkanye akanyike. Mambo ya baby am sory yaliisha alipokufukuza kwa matusi. Vidume vingine huwa vikiona viruka njia vinaisha ubongo. Wanabaki na usaha tu akili kwisha.
Wasaidie wanawake wenzio kufunguka
 
Heheheh

U don't know me
It's just i don't want to cause a scene

Jamaa anakula mzigo Leo, plz mrejesho kesho. Au kama vipi nipe ramani nije kupiga chabo kabisa kwa ushahidi humu jukwaani
 
Ndagha kikolo ujobhile syosa. Actually akianza ku mu entertain mzazi mwenzie anaweza akahamia kabisa. Baadhi ya wanaume hawana adabu, ukimchekea anakugonga then ataendelea kukudharau na kukuona uko cheap. Anaona anaweza akakuacha na kukurudia kwa kadri atakavyo.
Latoya be strong, u have had enough of his drama. Akija muonyeshe uso wa kazi, asalimie hiyo mbegu yake then akisepeshe. Hata maji ya kunywa usimpe... akalale huko mbele kwa mbele. asikuwekee usiku. Kwani siku zote huwa analala wapi mpaka atake kuja kulala kwako leo?
Eeeh Ahsante my ndugu. Kuna mtu mstaarabu, basi inabidi uende naye kiustaarabu pia. Akijifanya mwehu, na wewe unakuwa tu chizi basi. Yani you just go with the flow, kuna watu ukijifanya mpole sana, utapakwa pilipili hadi machoni

Em imagine huyu mdada angekuwa na mtu wake, afu anakuja ghafla anamkuta baby daddy kajaa kama pishi la mchele, angemuelewa kweli? Umekosea afu badala ya kuwa mpole, unaleta ubabe eti nakuja kulala, wewe kama nani kwanza? Kuentertain upuuzi kama huo hakuna tu
 
Siwezi kwan mama mdogo yupo,afu mbele yake anajidaigi mstaarabu kweli.
That's y nimepiga lite 2 nipate confidence.
wewe hauna lolote unatuchezea akili tu apa, eti siwezi kwani mama mdogo yupo.? ina mana hasipo kuwepo jamaa anakupiga pipe kama kawaida tu, na huna jeuri ya kumnyima kitumbua, na akija lazima akugonge nyapu tu.
 
Hapana,wajua,nyumbani wanamfahamu,ila hawafahamu kama halei mwanae .na anaheshimika kama baba wa mwanangu,nimeficha hii siri ili kumlindia heshima yake kama baba wa mwanangu.wanajua ananisaidia malezi,matumizi nk ingawa hafanyi hivyo.

So leo akija nikaonyesha tofauti haitaleta picha nzuri,kwani ni mtu mwenye kazi yake nzuri tu,sema ndo busy na kula ujana akiniachia mzigo wote mwenyewe.

Hata mwanangu sitakaa nije nimwambie kuwa babake hamtunzi,sitaki imwaribu kisaikolojia.nimeongea naye mara nyingi nikidhani atabadilika ila hafanyi hivyo.

Na sipendi tofauti zangu na yeye zimhusishe mtoto,ndomana nimekeep cool.wanawake tunafanya haya sana ili kulinda furaha za watoto.najua once members wa family yangu wakijua watakuja mwambia mwanangu,kitu ambacho sipendi kitokee.

Inshalaah Mola ataniwezesha ntapata rizki mtoto atakuwa tu vizuri.
Mhhhh! Kwa haya uliyoandika sioni sababu ya wewe kuwachosha watu kuwa unahitaji ushauri. Maamuzi yako yanaonekana wazi wazi na unamatumaini kuwa huyo bwana atabadilika na muishi kama mume na mke na ndiyo sababu unadai unamfichia siri. Hivyo ili uendelee kumfichia siri kwa mama mdogo ni wazi utalala naye room. So what do you wanted to here from us? Ila angalia isijekuwa unalea donda ndugu zama hizi za HIV. All the best!
 
Back
Top Bottom