Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,420
It won't happen,
Kuna thread nilileta,mwanagu babako amekufa,kaireview nadhan utanielewa.
Sawa...
It won't happen,
Kuna thread nilileta,mwanagu babako amekufa,kaireview nadhan utanielewa.
HAPANA, MWAMBIE UKIJANAITA POLISI, FINAL, USIMUENDEKEZE
HIVYO NI VITISHO, UBABE WA KIPUUZI. MAKE ADVANCE REPORTING TO THE POLICE KUWA KUNA MTU ANATAKA KUJA KUNIFANYIA FUJO, (CRIMINAL TRESS PASS), THEN AKIJA WAITE KUWAKUMBUSHIA. USIMUENDEKEZE UNLESS YOU ARE STILL INTERESTED IN HIM.Nilimwambia asikanyage ntamchukulia sheria,akasema hata nikiita jeshi,lazima aje.
So ishu nadeal naye vip,manake naona anataka nigeuzia kibao.
Hukuwa na haja ya kupiga lite hyo ulitakiwa umpe makavuuu! Na kama umemove on huna haja ya kumkumbushia yaliyopita, mwache aje amuone mtot kwa kulala akatafute!
Latoya Latoya usisahau kutupa yatokanayo tu!Siwezi kwan mama mdogo yupo,afu mbele yake anajidaigi mstaarabu kweli.
That's y nimepiga lite 2 nipate confidence.
HIVYO NI VITISHO, UBABE WA KIPUUZI. MAKE ADVANCE REPORTING TO THE POLICE KUWA KUNA MTU ANATAKA KUJA KUNIFANYIA FUJO, (CRIMINAL TRESS PASS), THEN AKIJA WAITE KUWAKUMBUSHIA. USIMUENDEKEZE UNLESS YOU ARE STILL INTERESTED IN HIM.
Latoya, I am a man. Naomba uniamini tu kiduchu hata kama hatufahamiani ukimfungulia mlango wa sebuleni nakuhakikishia na wa chupi utamfungulia.Really?
No hata bedroom kwangu haingii.
Latoya, I am a man. Naomba uniamini tu kiduchu hata kama hatufahamiani ukimfungulia mlango wa sebuleni nakuhakikishia na wa chupi utamfungulia.
Kama anataka kumwona mwanaye sidhani kama upo mkoa ambao hauna hotel. Mkutane kwenye hotel tena nzuri tu yenye ukimya..mkae restaurant mle chakula cha jioni, aondoke kwenda kwake uondoke kwenda kwako.
This is my final advice, kutoka kwenye maandishi yako, bado huna chuki ya kutosha kwa huyo mwanaume, hutaweza kumzuia wewe! na kwa kuwa umesema hutaki ku create scene please please and please take my advice.
Naelewa ni baba wa mwanao, ila wakati mwingine ataacha kukuchezea akiona msimamo wako..usimkaribishe ndani kwako.
Ungekua a bit stronger ningekushauri hata huyo mtoto asimuone...kwani nini, kumwaga mbegu tu hakumtoshi kuvamia kwako. He was supposed to be the father to the unborn king hadi alipozaliwa ila na matusi umepata. Unadhani huko moyoni mwake leo kakutana na Yesu akakukumbuka?
let me tell you ninachodhani...kakosa pa kulala (kama mpo mikoa tofauti), ana nyege leo, au ni mario tu ulishamzoesha kumlea...one of these must be true.
Dah basi tu unhekuwa dada yangu ningekuchapa viboko kama ungemkaribisha kwako.
Si akija mpishe tu chumbani
wewe lala na mama yako mdogo
mbona case closed
hatarudia tena
kugegedwa lazma na anaonyesha kammis kwel kwelKwani anatoka mbali sana hadi alale kwako? Jirani na kwako hamna Nyumba ya kulala wageni? Lengo la jamaa kulala kwako unalijua? Yote kwa yote watu ambao ni wazazi huwa ni vigumu sana kukataliana huduma za unyumba! Take it from me, jamaa lazima akugegede tu leo labda kama siyo mwanaume wa ukweli.
Kwa majibu haya wewe bado unampenda ila tu una hasira, I can read your mind huyo bado ni mpenzi wako ila iko blurred tu for awhile.Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.