Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nice and easy, namtext tuheshimiane ulale hapa kwako??, nafunga milango,mageti na magrilli yote tunakaa ndani tunaendelea na yetu
 
Hapana,wajua,nyumbani wanamfahamu,ila hawafahamu kama halei mwanae .na anaheshimika kama baba wa mwanangu,nimeficha hii siri ili kumlindia heshima yake kama baba wa mwanangu.wanajua ananisaidia malezi,matumizi nk ingawa hafanyi hivyo.

So leo akija nikaonyesha tofauti haitaleta picha nzuri,kwani ni mtu mwenye kazi yake nzuri tu,sema ndo busy na kula ujana akiniachia mzigo wote mwenyewe.

Hata mwanangu sitakaa nije nimwambie kuwa babake hamtunzi,sitaki imwaribu kisaikolojia.nimeongea naye mara nyingi nikidhani atabadilika ila hafanyi hivyo.

Na sipendi tofauti zangu na yeye zimhusishe mtoto,ndomana nimekeep cool.wanawake tunafanya haya sana ili kulinda furaha za watoto.najua once members wa family yangu wakijua watakuja mwambia mwanangu,kitu ambacho sipendi kitokee.

Inshalaah Mola ataniwezesha ntapata rizki mtoto atakuwa tu vizuri.
Lengo lako ni zuri ila ukauzu una umuhimu wake muda mwingine
 
Ongea na polisi hapo kituo cha karibu. Akija akingangania toa taarifa. You have that right
 
Hahahah nilikuwa namkamulia baby maziwa ya kesho,wajua ukiwa na stress hayatoki,that's y am happy.
Nalichukulia easy tu hili suala,msimamo wangu ni huo,hatokaa aniumize tena.naenda lala ,nimewambia akija wampokee amwone mwanae then asepe,kesho natakiwa kulijenga taifa.
Dada vipi kaja au,
Usimpe jmn,..pls my sis
 
samahani kwa kuchangia late
Ila ninaamini hizo lite zilishuka chini na sasa mnaliwazana na kusameheana yaliyopita
 
Dada vipi kaja au,
Usimpe jmn,..pls my sis

Hahahah,mie nimejifungia bedroom kwangu,mtoto nimemwacha na bibi yake,kaja ndio,wako sebuleni wanaongea,usiku umekuwa mwingi.nimemwambia mama wasiniamshe walale na mtoto,kesho natakiwa kuwahi kazini.
 
Miaka mingapi imepita? Yaonyesha bado unampenda ndio maana unashindwa kukata tamaa....! Hebu kua
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kubusu miguu ya nyuma ya punda.
Apo uchomoi, na kinakuwasha sa izi.
 
No lite hazijawah fanya nitafunwe,labda niamue mwenyewe.
Latoya mpaka saa hizi jamaavhajatimiza lengo lake maanavkwa hasira najua upo Lite ya 7 na huwa zinashushwa kupinguza hasira tupe mrejesho wengine tulale au mpaka kesho
 
Twambie mrejesho bas, wenzako tuna hasira, mafarao wamatukwida huku.
 
Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.
mmmh mwisho wa siku ni maisha yako sioni haja ya kumtunzia heshima mtu ambae alishindwa tunza yako we create tu scene tena a big one kama ikibidi ili aelewe vizuri unachomaanisha
 
Hahahah,mie nimejifungia bedroom kwangu,mtoto nimemwacha na bibi yake,kaja ndio,wako sebuleni wanaongea,usiku umekuwa mwingi.nimemwambia mama wasiniamshe walale na mtoto,kesho natakiwa kuwahi kazini.
Ha ha ha, mwisho wa siku utampanulia tu, ogopa mzazi mwenza.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Mpe uchi mwenzako ww
 
Hahahah,mie nimejifungia bedroom kwangu,mtoto nimemwacha na bibi yake,kaja ndio,wako sebuleni wanaongea,usiku umekuwa mwingi.nimemwambia mama wasiniamshe walale na mtoto,kesho natakiwa kuwahi kazini.
Hongera sana,bora wako wengi hapo home
 
Back
Top Bottom