- Thread starter
- #81
Siku zote mwanangu analala na mimi.Yan MTU anaomba ushauri, wakimshauri mazuri et mtoto alale na nan. Kwan ck zote analala na nani???
Siku zote mwanangu analala na mimi.Yan MTU anaomba ushauri, wakimshauri mazuri et mtoto alale na nan. Kwan ck zote analala na nani???
Latoya pole sana, hakuna masika isiyo na mbu. Yana mwisho.
Layota, vp kafika???? Kama bado, akifika tu, we endelea kuchat na .ss. Akikuona busy atanywea
Vumilia tu Mkuu.....Hahahah
Haijalishi ila kwa maneno alonotolea siku ile niliapa,kamwe sintompa nafasi maishani mwangu.na hata mtoto nilitaka asimwone forever ila nikaona haina haja ni mwanae.na furaha ya mwanangu yaja kwanza kuliko chochote.That's y nikabadil msimamo kuwa,ok ntamruhusu kumwona mtoto,ila access na mimi ndo basi tena.
Chizi nilishamshusha milembe that day,kwani chiz huwa haponi,kajisemea jide.
Usikute hata miaka 24 hajafika
yuko kwenye denial...
Vumilia tu Mkuu.....
Sikuzote mihusema ukubwa sio namba, ukubwani uwezo wa kuoambana na kupishana na changamoto nene na nyembamba.
Kwani umefikisha lite ya ngapi?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ya tatu na ya mwisho,sinywi zaidi ya hapo,nisijeishia achiwa katoto kengine buree.
Nimekua mbona,but nina experience na hizo mambo,wewe lazima leo utaliwa,kweli naapaGrow up
Ndio maana tunasema, KAMWE USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO sababu ya vitu kama hivi, na ukweli ni kwamba hapa umedai unajipanga kumjibu, ila akija utakuwa mpole na kei utampa. Ndo ilivyo, sio wewe tu mleta uzi.
Hivyo wee mpokee tu mzazi mwenzio na mwambie vitu vya kuja navyo!
Nimekua mbona,but nina experience na hizo mambo,wewe lazima leo utaliwa,kweli naapa
We ulete mrejesho tu hapa,ila nina uhakika wewe utapakuliwa leo.unaonekana kabisa jamaa utampa mzigoMbona umekazania kuliwa kuliwa,kwan nimekuwa nguru mie.
Kweli nimeamini mtalaka hatongozwi, BTW kuwa mpole mkaribishe mtandikie alale na kwa kuwa unae mamako mdogo mwambie huyo ni babake mtoto, alafu we lala na mamdogo asubuhi ataona aibu ataondoka bila rabsha.Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.
Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.
Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.
Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.
Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.
Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.
Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.