Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Upo pande gani nije kukusaidia kumtimua 😀
 
Thanx,ila


Thanks,ila si nahitaj kwenda kituon,afu giza lishaingia.naagaje kwa maza kwa mfano.
kwa majibu kama haya wewe ni chakula yake tu huna jeuri ya kukwepa p-um-bu leo,kwanini usiseme tu kua umemisi kitombo chake .?

unatuzungusha weeee mala polisi,mala mama mdogo yupo,mala sijui nini yani wewe sijui nikuweke kundi gani mana kicheche lina hesma sana.
 
You still love the guy, trust me, bado una hisia naye kali tu na yeye anajua ndio maana kasema anakuja kulala hapo kwa kujiamini kabisa, anajua anachokifanya.
nalizma akamvulie chupi hana jeuri ya kukataa huyu.
 
kwa majibu kama haya wewe ni chakula yake tu huna jeuri ya kukwepa p-um-bu leo,kwanini usiseme tu kua umemisi kitombo chake .?

unatuzungusha weeee mala polisi,mala mama mdogo yupo,mala sijui nini yani wewe sijui nikuweke kundi gani mana kicheche lina hesma sana.

Hahahah mbona wajibu kwa hasira hivo,ndo wewe nn?
 
Eeeh Ahsante my ndugu. Kuna mtu mstaarabu, basi inabidi uende naye kiustaarabu pia. Akijifanya mwehu, na wewe unakuwa tu chizi basi. Yani you just go with the flow, kuna watu ukijifanya mpole sana, utapakwa pilipili hadi machoni

Em imagine huyu mdada angekuwa na mtu wake, afu anakuja ghafla anamkuta baby daddy kajaa kama pishi la mchele, angemuelewa kweli? Umekosea afu badala ya kuwa mpole, unaleta ubabe eti nakuja kulala, wewe kama nani kwanza? Kuentertain upuuzi kama huo hakuna tu
Watu kama hao size yao wanyaki... kun'gorosya mpka ikugoroka ulwa nsebho. Ugwangu une agorwike.. unkino ndikuloonda une. Natamani Latoya tungemgawia kaujasiri ketu.
 
Hapana, mzazi mwenzio hawezi kuwa chizi. He just gave you a king to be proud of. Hizo mara nyingi ni tabia za vijana wengi kukataa watoto, lakini mwisho hujirudi na kuwa wazazi wema tu.

Let him be a father to his son.
Hivi brod unavyoona huyo mwanaume ni amejirudi kweli? Mbona hana adabu sasa? Mtu aliyefanya kosa akajutia hawezi kurudi kwa ubabe huo. Ningemuelewa kama angepiga simu nakuja kumuona mtoto tena muda convenient na akaja na mtu wanayemuheshimu akaomba msamaha kwa kumsusa mtoto na mengineyo, kwa kweli hata me ningemfikiria kidogo. Lakini unapiga simu tu siku " nakuja kulala" kwa ubabe as if unarudi home kwako kutoka kazini, akalale hapo yeye kama nani kwa mfano?. Mmh ajifunze kurudi kwa adabu....... Anyway maamuzi ya mwisho kayabeba mwenyewe latoya
 
Usimtolee maneno makali hata kidogo huwezi jua ni roho gani inamfuatilia.Msubiri aje umsikilize anasemaje then kuhusu kulala mwambie humuamini tena kutokana na lugha chafu alizokutolea na kutopatkana kwake.Pia huna hisia na yeye huo ndo ukweli ulio nao baada ya hapo nyamaza kimnya usiongee tena.Kama kuna chumba na sebule lala sebuleni kwa raha zako akitaka kukuparamia muulize kwa upole unataka kunibaka ?Nimeshakwambia sina hisia na wewe niache please.Badilika usifanye kitu ambacho amekizoea utamshtua lazima.
Ivi unajuaga tunavoliaga! Na nyie mlivyo na Huruma? Good advice thou!
Kama humtaki usitake akuzoee
 
Thanx,ila


Thanks,ila si nahitaj kwenda kituon,afu giza lishaingia.naagaje kwa maza kwa mfano.
Hivi unajua wewe hujitambui, na umeshapoteza muelekeo.una miaka mingapi kwanza[emoji53] .

Embu subiri mechi ya ubarikio wa mtoto hapo usitupotezee muda.leo utapigwa mti kwa hiyari yako ni jamaa akifika tu.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Single mother dunia inawatesa sana. Hakuna mwanaume asiyependa mwanamke anayejielewa kiakili.
 
Back
Top Bottom