Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

wewe hilo ni jambo lakuomba ushauri?? na unamnywea pombe?? ifike mahali wanawake tuwe na msimamo thabit sio unayumbishwa hovyo tena na mtu kakuzalisha mkaachana iissssaahhh!. alale aondonde then??

jiandae kuombwa msamaha wa uongo ili apumzike usiku huo tu akupe na virusi vyake na baadae atakutukana zaidi ya siku alokuacha kama akili yako ina mafinyofinyo na ukamruhusu alale. ita hata police wewe kaona una furaha anakuja kuichukua aende zake ulie weew miaka tena.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Mpe nafasi msikilize yawezekana mihemko ya ujana imemwisha so anahitaji kujenga na kulea familia pamoja na wewe kama mzazi mwenzio. Fujo na maneno machafu yatampa shida huyo kijana yetu mdogo ambaye anahitaji guidance yenu kama wazazi. #Thinkbig
 
wewe hilo ni jambo lakuomba ushauri?? na unamnywea pombe?? ifike mahali wanawake tuwe na msimamo thabit sio unayumbishwa hovyo tena na mtu kakuzalisha mkaachana iissssaahhh!. alale aondonde then??

jiandae kuombwa msamaha wa uongo ili apumzike usiku huo tu akupe na virusi vyake na baadae atakutukana zaidi ya siku alokuacha kama akili yako ina mafinyofinyo na ukamruhusu alale. ita hata police wewe kaona una furaha anakuja kuichukua aende zake ulie weew miaka tena.
Kwani condom hakuna? Kama jamaa anataka kutangaza nia ya ndoa na mambo mengine unahisi ukifanya huo ukauzu itasaidia!? Tusiangalie nafasi zao tu, tuangalie na hiyo mbegu ambayo imepandwa inahitaji uangalizi wa hao watu wote wawili, yeye alale nae ampe nafasi ya kumsikiliza ninyi wanawake mna mbinu kibao, anaweza timba ped hapo usiku kucha na mshikaji akaamini mtu yupo anga la mwezi! Tuache masihara mtoto wa kiume karne hii anahitaji ulinzi zaidi ya mtoto wa kike.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.
Muandalie sumu ya kumtilia kwenye chakula.
Usipokuwa makini atakuchezea sana, anatoa wapi mamlaka ya kujiamlia alale kwako? Kuna uwezekano anajua unampenda sana ndo maana anajitolea amri kama baba ako
 
Thread yako imeniacha hoi sana,inaonekana wazi jamaaa atalala hapo na mzigo atakula tu,,sasa tunakuomba akilala na mzigo akala uje kutoa mrejesho hapa tena ,,sawa??? Ila uongo hatutaki
 
mnhhh naona unatafuta sababu tu
mwisho utalala nae
na yeye anajua ndo maana kapiga simu kukupa amri

Hapana,wajua,nyumbani wanamfahamu,ila hawafahamu kama halei mwanae .na anaheshimika kama baba wa mwanangu,nimeficha hii siri ili kumlindia heshima yake kama baba wa mwanangu.wanajua ananisaidia malezi,matumizi nk ingawa hafanyi hivyo.

So leo akija nikaonyesha tofauti haitaleta picha nzuri,kwani ni mtu mwenye kazi yake nzuri tu,sema ndo busy na kula ujana akiniachia mzigo wote mwenyewe.

Hata mwanangu sitakaa nije nimwambie kuwa babake hamtunzi,sitaki imwaribu kisaikolojia.nimeongea naye mara nyingi nikidhani atabadilika ila hafanyi hivyo.

Na sipendi tofauti zangu na yeye zimhusishe mtoto,ndomana nimekeep cool.wanawake tunafanya haya sana ili kulinda furaha za watoto.najua once members wa family yangu wakijua watakuja mwambia mwanangu,kitu ambacho sipendi kitokee.

Inshalaah Mola ataniwezesha ntapata rizki mtoto atakuwa tu vizuri.
 
Unameheshimu ili iweje mbona yeye hakuheshimu?
wewe why unajali sana heshima yake kuliko yeye mwenyewe?
 
Thread yako imeniacha hoi sana,inaonekana wazi jamaaa atalala hapo na mzigo atakula tu,,sasa tunakuomba akilala na mzigo akala uje kutoa mrejesho hapa tena ,,sawa??? Ila uongo hatutaki

Acha akili za kitoto,kuwa serious.
 
Na wewe tafuta mwanamme akija mkute na kitaulo anabadilisha channel ukumbini.
 
Back
Top Bottom