Kama umekusidia kutompa basi fanya juu chini asilale kwako, kama unaishi wewe na mwanao kisha usiku kalala na mzazi mwenzio anataka kuongea nawe, utakataa??No simpi nimeamua ntalala sebuleni,ntakesha nawatch movies tu
we una mpenda bado umefurahije hadi unapata moja baridi
Latoya, pole sana. Nadhani hasira hazitakusaidia. Muonyeshe kuwa you've moved on kwa vitendo, kuwa cool na mjibu tofauti na alivyotegemea. Ukimnywea pombe utaongea na kufanya usiyopenda, na Hiyo ni ishara kuwa you still have feelings for the dude.
Pia, kufanya mambo yawe rahisi kwako, ukiwa na mzazi wa namna hiyo usipende kukutana nae kwako, huwa watu wanakutana sehemu neutral, wanapata lunch/dinner then kila mtu anaenda kivyake. Kumkaribisha kwako ni hatari kwako, he should be a stranger saivi.
Kwani tangu muachane hujapata mwingine wa kuhuisha nafsi?
VP hajafika tuNo kanitibua ndo mana nimeamua kunywa.
Mzaramo acha mbwembwe mwenzio anapanga mashambulizi haposiku ile tulikuomba uweke picha yako ukagoma....ebu tufanyie hisani weka picha yako tafadhali
wanaume huwa tunasahau kwa uraisi mistakes au maumiv tulowasababishia wanawake
Kuhuisha nafsi lol... nimecheka balaa.Latoya, pole sana. Nadhani hasira hazitakusaidia. Muonyeshe kuwa you've moved on kwa vitendo, kuwa cool na mjibu tofauti na alivyotegemea. Ukimnywea pombe utaongea na kufanya usiyopenda, na Hiyo ni ishara kuwa you still have feelings for the dude.
Pia, kufanya mambo yawe rahisi kwako, ukiwa na mzazi wa namna hiyo usipende kukutana nae kwako, huwa watu wanakutana sehemu neutral, wanapata lunch/dinner then kila mtu anaenda kivyake. Kumkaribisha kwako ni hatari kwako, he should be a stranger saivi.
Kwani tangu muachane hujapata mwingine wa kuhuisha nafsi?
. Naona umeamua kukiri kwamba huo uwezekano upo,rudisha tu moyo umpokee mwandaniYa tatu na ya mwisho,sinywi zaidi ya hapo,nisijeishia achiwa katoto kengine buree.
Hizo ni hadithi za kufikirika. Akishaingia ndani atakukula na atasepa. Utaachiwa maumivu zaidi ya yale ya mwanzoni. Utarudi tena hapa unagalagala na machozi. Umeshafanywa single mother na mtoto mmoja..anakuja tena kukufanya single mother kwa watoto wawili.No simpi nimeamua ntalala sebuleni,ntakesha nawatch movies tu
Unaweza kumpa nafasi nyingine, only if he bears with your conditions. Siku zote naamini malezi ya wazazi wote ni mibaraka kwa watoto. Kama anarudi, anaomba msamaha, give him another chance.Nanyonyesha so mapenzi nimeyaweka pending kwanza.na sijamkaribisha anafos kuja kwakuwa anapajua.