Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.



kumbe unapiga maji lazima jamaa apige show kali tena mwenyewe utamsaidia.
 
Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.
Kiukweli bado anamkubali mshkaji ndio maana alishindwa kuwa muwazi kwa familia yake hivyo anaweza kugegedwa kama kawaida anajikaza humu live anatulia
 
In a huyo mwanamke hampi au keshamtema Anarudi kukuomba radhi me time msikilize ok K no usimpe. Tabu badala ya kuomba kwa Mungu akupe hekima unakunywa lite!!! Atagegeda au mtapigana!!! Devel is around
 
Huyu Latoya hatorudi tena hapa kuleta feedback ya mgegedo, lijamaa analizimikia sana sema anavungavunga tu hapa.
 
In a huyo mwanamke hampi au keshamtema Anarudi kukuomba radhi me time msikilize ok K no usimpe. Tabu badala ya kuomba kwa Mungu akupe hekima unakunywa lite!!! Atagegeda au mtapigana!!! Devel is around
Ngoja kupambazuke tupate majibu kimetokea nini? Maana naona yupo kimya sasa
 
kuna kitu mnasahau

women fight women AND NOT MEN

Huyo dada ataliwa leo kinoma simply because anajua anamkomoa mwanamke mwenzake anayeishi na jamaa

vita ya panzi, neema ya kunguru
Na huu ndio ukweli, mkuu.
 
kuna kitu mnasahau

women fight women AND NOT MEN

Huyo dada ataliwa leo kinoma simply because anajua anamkomoa mwanamke mwenzake anayeishi na jamaa

vita ya panzi, neema ya kunguru
Yani atakuwa amefanya makosa sana.........uwezi kumkoa mtu kwa namna hiyo.
 
It won't happen,

Kuna thread nilileta,mwanagu babako amekufa,kaireview nadhan utanielewa.
Huyo jamaa yako atakuwa amepigika kimaisha ndo anataka kuhamia kwako hivyo taratibu.huyo mwanamke wake naona kamchuna balaa halafu akasepa.kuwa makini naye waweza letewa magonjwa ukajuta zaidi.
 
Thanx,ila


Thanks,ila si nahitaj kwenda kituon,afu giza lishaingia.naagaje kwa maza kwa mfano.
Yaani unaogopa kwenda polisi kwa kisingizio cha giza kuingia?naona unatu joke hapa wewe una hamu naye sana na hapo unamsubiria kwa hamu zote mkumbushie mambo yenu ya 6*6.
 
Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae.The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.

Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone.sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote,sielewi kapata wapi no yangu,ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.

Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana,bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.

Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.

Nilimkataza,akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way.then kakata simu.
I was like eish is he crazy?ok sitamnyima kumwona mwanae,bt kulala kwangu,like you own the place,hell no.

Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili.kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.

Wadau nipeni pointers,nasolve vipi hii ishu.


Mtoe nduki dada, kama inawezekana mpe kiti njee akae akimaliza kumwona mwanae kung'uta vitu vyako ingiza ndani aondoke, kodi ya nyumba alishailipa? Anajua unaitoa wapi, ukimuendekeza atakutengenezea jipu litakalokushinda kutumbua on the running time, it's so hard kumjibu vibaya lakini vaa moyo wa chuma ndugu, na utashinda
 
Si akija mpishe tu chumbani
wewe lala na mama yako mdogo
mbona case closed

hatarudia tena



Chumba cha na Nani, na yy kama Nani wa kuheshimiwa hivyo, !!! Kama Nina chumba cha dog, nampeleka hukoooo Ndo hadhi yake, anajua kodi nalipaje!!; alaaaaaaaaah!
 
Kwani condom hakuna? Kama jamaa anataka kutangaza nia ya ndoa na mambo mengine unahisi ukifanya huo ukauzu itasaidia!? Tusiangalie nafasi zao tu, tuangalie na hiyo mbegu ambayo imepandwa inahitaji uangalizi wa hao watu wote wawili, yeye alale nae ampe nafasi ya kumsikiliza ninyi wanawake mna mbinu kibao, anaweza timba ped hapo usiku kucha na mshikaji akaamini mtu yupo anga la mwezi! Tuache masihara mtoto wa kiume karne hii anahitaji ulinzi zaidi ya mtoto wa kike.



Unahis kama ndoa Ndo mipango pekee ya mwanamke!!! No change to mind, so atukanwe, adhalilishwe then ndoa isuluhishe!! Ni she might be mad! Ndoa apelekee wanaozisaka,
 
kuna kitu mnasahau

women fight women AND NOT MEN

Huyo dada ataliwa leo kinoma simply because anajua anamkomoa mwanamke mwenzake anayeishi na jamaa

vita ya panzi, neema ya kunguru

Wrong,i fight my enemy and not his associates
Jibu nililitoa jana nikaenda lala,kwani nilitakiwa kudamka niwahi kazini leo.
Nilimwambia that day,kuwa amechoose huyo mwanamke over me and my son,hatokaa anione tena maishani mwake.
Nilimwacha mtoto sebulen na bibi yake,nikaenda lala kabla hata hajafika na nikawaambia wasiniamshe natakiwa kuwahi job leo,nikafunga mlango wa bedroom nikalala.
Alipofika nilimsikia wakisalimia na mama sebuleni ila sikutoka.That's was it.sasa kusema nililiwa and the likes yametokea wapi?inshort sikuonana naye.nimeamka asubuhi wakanambia,alimwona mtoto,then,akaniulizia,akaambiwa nimelala na nimesema nisiamshwe so,after that aliondoka zake.
 
Unahis kama ndoa Ndo mipango pekee ya mwanamke!!! No change to mind, so atukanwe, adhalilishwe then ndoa isuluhishe!! Ni she might be mad! Ndoa apelekee wanaozisaka,

Don't mind them,nililala,sikumpa hata chance ya kuonana nami.na sihitaj ndoa na mtu ka huyo,kama ni chiz nilimwacha milembe long ago.
 
Latoya kama nakuona vile unavolilia dudu hapo muda huu.usisahau kuleta mrejesho hapa kesho,utuambie amekupiga vingapi,en how did u feel

Hahahah u wish
Ulitaka nikeshe?naishi nyumba kubwa tu ambayo mtu aweza fika na msionane.sikuonana naye,inshort.
 
Back
Top Bottom