tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
Ita polisi kama akija kwakoNilimwambia asikanyage ntamchukulia sheria,akasema hata nikiita jeshi,lazima aje.
So ishu nadeal naye vip,manake naona anataka nigeuzia kibao.
Ita polisi kama akija kwakoNilimwambia asikanyage ntamchukulia sheria,akasema hata nikiita jeshi,lazima aje.
So ishu nadeal naye vip,manake naona anataka nigeuzia kibao.
yani mkuu izo castle alizo gonga alikua anaongeza genye tu huyo ili akafumuliwe vizuri.atakufaid vizur na hizo castle zako. hakuna haja tlya kunywa pombe akifika ita mwiziiiiii
Share nasi link mkuuMbona mrejesho keshautoa fuatilieni jamani.
Actually your number one enemy ni yule anayekulia bwana... that is your mentalityWrong,i fight my enemy and not his associates
Jibu nililitoa jana nikaenda lala,kwani nilitakiwa kudamka niwahi kazini leo.
Nilimwambia that day,kuwa amechoose huyo mwanamke over me and my son,hatokaa anione tena maishani mwake.
Nilimwacha mtoto sebulen na bibi yake,nikaenda lala kabla hata hajafika na nikawaambia wasiniamshe natakiwa kuwahi job leo,nikafunga mlango wa bedroom nikalala.
Alipofika nilimsikia wakisalimia na mama sebuleni ila sikutoka.That's was it.sasa kusema nililiwa and the likes yametokea wapi?inshort sikuonana naye.nimeamka asubuhi wakanambia,alimwona mtoto,then,akaniulizia,akaambiwa nimelala na nimesema nisiamshwe so,after that aliondoka zake.
kwahiyo hukumuona.... kwikwikwikwiiiDon't mind them,nililala,sikumpa hata chance ya kuonana nami.na sihitaj ndoa na mtu ka huyo,kama ni chiz nilimwacha milembe long ago.
saizi anaona aibu mana jamaa kasha mpiga paipu yuko mwepesii...[emoji135] [emoji135]
Actually your number one enemy ni yule anayekulia bwana... that is your mentality
reading between the lines iko clear, hata sentense yako ya kwanza kwenye inasema "Dunia mzunguko,for sure i never expected this from this guy."
To you its kinda victory in a way... na ile thread nyingine, ulienda "ukamkuta anaishi na mwanamke"
I rest my case
Aliyekula kala
wewe ndio unaetakiwa ku grow up, hiki ulicho kuja kuomba ushauri hapa ni upuuzi mtupu, kwani kwa mwanamke timamu tena aliezaa akatelekezwa,na akaona bora yaishe na aendelee na life yake,na mwenye misimamo, hii issue angeimaliza mapema sana, na wala asinge ileta hapa mana ni ujuha.Dude,since jana nimekwambia grow up.