Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

Fikia front line lodge jirani na stend mkabala na himo restaurant. Chumba ni 15000 self ila uzinifu haturuhusu. Usalama wa kutosha
 
Kwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku.
Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo.
Pia gharama za malazi.

Ahsanteni
Pazur huko,ila hapaja janjaruka sana ko Indoa hofu kudhurika kwa lolote ,Motel au lodge.
 
Usalama ni mkubwa Masasi,kuhusu malazi ni mengi pia utapata Guest houses mpaka Lodges kutegemeana na mfuko wako ingawa nyingi kule zina range kuanzia 20,000.00 hadi 100,000.00.
Ukitaka misosi inapatikana,ukitembelea Kibo na maeneo mengine hapo unapata misosi na mambo yetu yalee ukitaka.
Mkuu,hiyo jina lako limenikumbusha mbali sana. Naona kama una element za Kihandisi-Ujenzi.
POINT LOAD vs UDL!
 
Mkuu,hiyo jina lako limenikumbusha mbali sana. Naona kama una element za Kihandisi-Ujenzi.
POINT LOAD vs UDL!
Point Load Vs Uniformly Distributed Load
Hahaha....Hongera pia Mkuu hope you attended the same class au???
 
Point Load Vs Uniformly Distributed Load
Hahaha....Hongera pia Mkuu hope you attended the same class au???
Sure mkuu,tamu sana unapochora SFD na BMD kwenye Beams ambazo ni Continuous Beams.
Hongera mkuu.
Tukija mada kuu,hivi hakuna usafiri wa Mbeya kwenda Mtwara mjini?
Au hata Njombe/Makambako kwenda Mtwara Mjini? Kibiashara,hawa wakaz wa Njombe wakijiongeza kule Mtwara kuna fursa. Ila mpambano utakua mkali kidogo kwa sababu Wamakonde nao ni watafutaji,japo mitaji siyo mikubwa ila wako vizuri. Biashara nyingi Masasi na Mtwara Mjini ni za Wamakonde kuliko makabila mengine ya kusini
 
Sure mkuu,tamu sana unapochora SFD na BMD kwenye Beams ambazo ni Continuous Beams.
Hongera mkuu.
Hapo utamu wa Structural engineering ndiyo huonekana,Wenzetu nchi zilizoendelea wanakumbana na Complex structures za kudesign kama Burj Khalifa lakini hapa kwetu sijui labda baada ya miaka 100 ijayo.
 
Hivi Unaenda kwa wamakonde, siku hizi wameacha kuwageuza watu vitoweo[emoji3], tahadhari muhimu
 
Back
Top Bottom