joboychali
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 171
- 91
Ktokea makambakoYeah ni kweli,wala hakutaja kama yupo kwenye basi au usafir binafsi, na wala haijulikani anatokea mkoa gani.
Ila kwa kuguess sasa,kama anafika Masasi saa5 usiku kwa basi,possibility ni kuwa kapanda basi la Dar-Masasi pale Sudan saa8 au 9. Au mepanda Basi la Kampuni ya Tashriff liendalo Masasi kupitia Dar likitokea Tanga.