Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

Kama swhwmu zingine ikiwa kutakuwa na lodge ya laki basi jua hata ya elfu 5 ipo.
Mbona hamuwazi hilo,mie nikadhani utauliza sehemu nafuu ya kufikia kumbe unaanza kutangaza shida bob.
Asante kwa marekebisho. Lakin sikutangaza shida
 
Masasi pamechanganya sana kama Mtwara Mjini. Wamakua wale hawajui kukataa na mambo wanayaweza balaa angalia usije zamia moja kwa moja. Kuna lodge moja inaitwa Lamboni ni nzuri sana bei zake ni kuanzia 20 mpaka 40 ila kuna siku nilimwambia ndg yangu afikie pale nusura usiku achapwe laptop na walinzi.
 
Haha hawajui kukataa....asante kwa taarifa
 
Kwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku.
Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo.
Pia gharama za malazi.

Ahsanteni
Mkuu,kwa nini ufike saa 5 usiku? Kutoka Dar hadi Masasi ni mwendo wa masa8-10 kwa basi. Ukichukua Maximum ya saa10, utagundua ili ufike saa 5 usiku,maana yake umetoka huku Dar saa 8-9 mchana.Je ni kweli umetoka muda huo? Au labda kama utasafiri kwa Toyo au Bajaj! Umbali wake ni wastani wa Kilometa 620 hivi kutokea Dar es Salaam
 
Chaza, sijaona alipoandika anatokea sehemu gani
 
Yeah ni kweli,wala hakutaja kama yupo kwenye basi au usafir binafsi, na wala haijulikani anatokea mkoa gani.
Ila kwa kuguess sasa,kama anafika Masasi saa5 usiku kwa basi,possibility ni kuwa kapanda basi la Dar-Masasi pale Sudan saa8 au 9. Au mepanda Basi la Kampuni ya Tashriff liendalo Masasi kupitia Dar likitokea Tanga.
 
Back
Top Bottom