Gesti nzuri IPO Maendeleo inaitwa lamboni so Karibu sanaKwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku.
Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo.
Pia gharama za malazi.
Ahsanteni
Gesti nzuri IPO Maendeleo inaitwa lamboni so Karibu sanaKwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku.
Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo.
Pia gharama za malazi.
Ahsanteni
tehe tehe tehe teeeehee, kumbe, haya nimekusoma tano kwa tano. vipi lakini hapo Masasi una enjoy?Huyo ni memba humu iyo kibo ni pub mkuu
Hahahah kwani na mm m2 mzuri sasa[emoji23][emoji23]Sio mtu mzuri uyoo
Yeah,unakaribishwa sana Mtwara. Kadri ilivyo,taswira waliyo nayo watu wengi kuhusu kusini ni tofaut na hali ilivyo. Siyo kubaya kabisa.Kuna kabaridi kwa mbali sawa na joto makambako....mji umejengeka pamechangamka sana...Wiki ijayo ndakua mtwara mjini
Pamoja mkuuYeah,unakaribishwa sana Mtwara. Kadri ilivyo,taswira waliyo nayo watu wengi kuhusu kusini ni tofaut na hali ilivyo. Siyo kubaya kabisa.
Anyway,baada ya hapo pata muda uzungushwe Mtwara japo kidogo.
Jitahidi ufike:
Mikindani(default)
Naf Beach,Naf Apartment,BNN,Soko Kuu/Stendi,Ferry,Bima,Madukani,Mnarani kutaja sehem chache. Utaenjoy!
Ni uzushi tu. Kuna watu ambao wana tamaduni za kuzikana pembeni ya nyumba zao walitembelea kusini kipindi hicho. Hivyo walishangazwa na kutoona makaburi pembezoni mwa nyumba za wenyeji wao, hapo ndipo wakaanza kuhisi ya kwamba watu wa kusini wanakula maiti ndio maana hawana makaburi, kumbe kusini wana tabia ya kuwa na maeneo maalumu ya kuzikana, na hili ni tokea muda mrefu sana.Hakuna kitu kama hicho Chief,i have been there for sometimes.Hizo zilikuwa story tu za watu
Mimi hizo stori nilisikia lakini baada ya kutembelea huku ndio nikajua kumbe ilikuwa uongo.Wenyeji wa Mtwara ni wakarimu sana kwa wageni kuanzia Mtwara,Masasi Newala,Nanyamba,Tandahimba kote huko ni wakarimu sanaNi uzushi tu. Kuna watu ambao wana tamaduni za kuzikana pembeni ya nyumba zao walitembelea kusini kipindi hicho. Hivyo walishangazwa na kutoona makaburi pembezoni mwa nyumba za wenyeji wao, hapo ndipo wakaanza kuhisi ya kwamba watu wa kusini wanakula maiti ndio maana hawana makaburi, kumbe kusini wana tabia ya kuwa na maeneo maalumu ya kuzikana, na hili ni tokea muda mrefu sana.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
AnhqAa kumbeNi uzushi tu. Kuna watu ambao wana tamaduni za kuzikana pembeni ya nyumba zao walitembelea kusini kipindi hicho. Hivyo walishangazwa na kutoona makaburi pembezoni mwa nyumba za wenyeji wao, hapo ndipo wakaanza kuhisi ya kwamba watu wa kusini wanakula maiti ndio maana hawana makaburi, kumbe kusini wana tabia ya kuwa na maeneo maalumu ya kuzikana, na hili ni tokea muda mrefu sana.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Upo huko wakati huu?kijiji cha nanjota ...njia ya kwenda newala
Safi sana mkuu.ulipata chochote?Jinimtu kibo pub sijajutia
Hata mimi nilijua ukienda Iringa utakuta watu wanakula tu mbwa. Lakini nmefika Kidamali,Tossa,Mafinga,Nyololo,Dabaga,Lundamatwe/Viwengi,Ikokoto,Mbalamaziwa,Tanangozi,Ihegela,Ihemi,Ifunda,kote huko sikuwahi kuona mbwa wakiliwa kama tulivyoaminishwa. Kama wapo haifiki hata 0.1%,sawa na panya kule kusini ni watu wachache sana,ambapo kwa Waislam(Majority kwa Newala,Mtwara,Nanyamba na Tandahimba,hawatumii kabisa)!Mimi hizo stori nilisikia lakini baada ya kutembelea huku ndio nikajua kumbe ilikuwa uongo.Wenyeji wa Mtwara ni wakarimu sana kwa wageni kuanzia Mtwara,Masasi Newala,Nanyamba,Tandahimba kote huko ni wakarimu sana
Hongera.upo kwa siku ngapi huko?Ndio chazaidi tena