Utupe mrejeshoJumatatu naenda mtwara mjini
Kama vitu gani boss tuisome fursa?.masasi wakarimu sana .....tatizo vitu ni bei juu
Zote za kiume na za kike boss?Nimeulizia nguo mkuu
Mkuu,niwe tu mkweli,katika eneo ambalo vitu bei ni juu,basi Mtwara ndo baba lao. Kama umefika Arusha,basi na Mtwara almost kuna fanana. Bei iko juu kidogo kuliko hapo Masasi.Ndio na wenyej wanasema bidhaa nyingi zinabei kubwa
Bia nywea Kibo pub.hutajuta
Mmmmh,huyo katoka Makambako,njia panda,nadhan mambo hayo ni ya kawaida sana.Nenda kibo kuna malaya kibao
Kama umewahi kufika Dar kwa mfano,kuna kitu kinaitwa Pweza,Chaza usikose kuviona. Pia usikose kuvitafuta hata kama usitumie,just kuviona tu kwa ajili ya rejea/ kumbukumbu.Sawa mkuu Nitakuwa mtwara kwa wiki
*Tatu Mzuka watazidi kuwa mabilionea asee* ujinga bado mwingi sana.Kama hela unayo utaishi sehemu yoyote dunia hii