Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,154
- Thread starter
- #81
Nilivyosoma hiyo " nikasema sawa nisindikize tu" sikuhitaji hata kumalizia kujua kwamba ulijilia tamu.Sasa nilikutana na kasenegal huko kruna, kakaniahd kuwa baada ya bata basi ni batani hotelini, eti tupo njian mnara upo fresh kakaniongelesha kwa kifaransa eti hatufanyi hata tukienda, nikasema sawa nisindikize tu...kufka ndani nakumbuka mm ni mtanzania na lazma niliwakilishe taifa, aisee kilichofuata asb kakasema siji tenaaa, nikakaambia poua
Jioni kakani sms njoo huku twist, aisee we acha tu.
Haya mambo haya..hayaa
Haya siku ya pili baada ya kutwist ulikula tena au wewe ndiyo hukumuelewa?