Salaaam wana jf!
Pamoja na kuwa nimesoma soma kuhusu Daleslam. Sasa nimepata bahati nakuja huko ijumaa hii, naomba ushauri nizingatie kitu gani, ntafikia kwa ndugu yangu atanipokea stand.
Natokea Kalambanzite huku Rukwa, sijawahi kufika Daleslam. Je nije na nini na nini nisibebe?
Asante sana, nataizya sana mkwae (kifipa/mambwe)
Ukija huku usipende chips utabeba mimba!
mkuu hebu nieleweshe chipsi zina uhusiano gani na MIMBA tafadhali..