ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii
Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani
Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo kwenye media
1. Hakuna kiongozi wa Yanga amewahi kuongea na vyombo vya habari na kuchafua TFF na bodi ya ligi
Yanga wametumika mbinu sahihi ikiwa ni kuandika barua ya malalamiko na madai Yao Kwa bodi ya ligi,
Tulitegemea bodi ya ligi na TFF kuwajibu Kwa njia rasmi
2 Karia anasemaje viongozi wa Yanga hawapaswi kuwa kwenye madaraka Yao.
Hii ni dharau kwetu Wanachama tuliowachagua Kwa kura kihalali kwamba yeye anaona tulikosea.
Eng Hersi Said na Kamati tendaji ya Yanga ipo madarakani kikatiba wala sio Kwa kupendelewa
3 Karia anasemaje viongozi wa Yanga wanafanya utoto
Sijui kama Karia yupo sawa kichwani.
Yaani viongozi wa Yanga wameandaa timu Kwa gharama, wamelipa wachezaji, wamekodi uwanja, wamealika wageni na mashabiki.
Bodi ya ligi na Simba wakasingizia mazoezi na kukimbia mechi
Yanga wakaandika barua, Leo Karia anasemaje viongozi wa Yanga wana utoto
Hii ni kashfa kubwa na dharau Kwa Yanga, kuitwa watoto
Yanga imekuwa bingwa mara 30, Yanga amecheza final CAFCC, Yanga ni timu tishio Africa
Karia acha dharau
4. Karia amedhara tasnia ya Sinema.
Karia kusema kuwa Yanga wakacheze Sinema, hii ni dharau Kwa tasnia
Sinema ni tasnia kubwa, umeajiri Watanzania wengi kuanzia wasanii, directors, managers n.k
Kwanini Karia alinganishe tasnia ya film kama jambo la ovyo
5 Karia amejipa upofu juu ya makosa ya bodi ya ligi
Uzembe uliofanywa na bodi ya ligi ana uhalalisha, hatokei kukemea
Karia wewe ndo Rais wa mpira, weka hisia na mapenzi pembeni tenda haki
Karia Kwa wadhifa wako inatakiwa uchunge kauli yako, kama umeelewa madaraka utajua
Yanga tunahitaji kuifuta TFF nzima na taasisi zake Kwa hujuma dhidi ya timu yetu
Yanga bingwa