Nakosa usingizi

Nakosa usingizi

hmm natoaminigi banu ba ng'wenomu o nene! kukuzugela ndio jimela gete nyanda!
Mwanike? Bhanu ba kwenuku ba kuhalibulile ghete... Basukuma twitogilwe na tutena maisha ga chenekoo, nzogo nu DM lulu tuzenge ka uaminivu. Kwani dhambi kuzugela mbona unene nakabazughilaga aba girlfriend bhane na kutena shida yeyote?
hahahhaaha ulibajali ng'wenekele ! banike binge no batogilwe bazuguma nyandone!
Batumbafu ghete benabo😂😂
 
Weekend yaendaje waungwana?

Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia

Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.

Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa kipindi cha hivi karibuni mambo yameenda kombo!

Ilianza kidogo ila sasa imekuwa intense.

Usiku nachelewa kulala, mchana na yenyewe silali, mwili una choka kabisa, na macho yana kuwa yanauma ila hayafumbi kulala

Wataalamu nisaidieni, nini kimenipata?
Jipatie Liberian girl mmojaa msupuuuu, awe anakulaza mapajani, hilo tatizo hutoliona tena
 
Tumia pombe kama sehemu ya kupumzisha akili.Ukishapata msosi unagonga bia zako mbili au tatu.Unaenda kulala.

Ubongo wako unaitaji madini na yanapatikana kwenye bia.
Ila usifanye pombe kama ulevi.
We mfariji tu

Akithubu tu habari ziwafikie kila nyimbo ataimba humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom