Nakosa usingizi

Nakosa usingizi

Weekend yaendaje waungwana?

Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia

Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.

Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa kipindi cha hivi karibuni mambo yameenda kombo!

Ilianza kidogo ila sasa imekuwa intense.

Usiku nachelewa kulala, mchana na yenyewe silali, mwili una choka kabisa, na macho yana kuwa yanauma ila hayafumbi kulala

Wataalamu nisaidieni, nini kimenipata?
Acha kulala mchana kabisa then ikifika usiku by saa mbili chukua kitabu Anza kusoma kwenye mwanga wa kawaida .
Automatically utasinzia2.
Kipindi nipo advance nlkuwa nikitaka kulala nachukua kitabu cha Somo gumi nafungua naanza kusoma by 2 min tayari nishatera😂😂
 
Hata hii pia lakini kusoma ni hobby je atajilazimisha huku akijua anafanya yote ili apate usingizi sleeping ni involuntary action
 
Acha kulala mchana kabisa then ikifika usiku by saa mbili chukua kitabu Anza kusoma kwenye mwanga wa kawaida .
Automatically utasinzia2.
Kipindi nipo advance nlkuwa nikitaka kulala nachukua kitabu cha Somo gumi nafungua naanza kusoma by 2 min tayari nishatera😂😂
Mm huwa nalala mchana ku compensate muda wa usiku kuanzia saa 6 mpk saa 8 huwa ni free time so napumzika

Hapo Kweli ukishika Chand lazima udozee
 
It can take time, you need to be consistent, uwe na regular time table ya kulala na kuamka then Mwili uta recover ( factory reset)
Ok thanks. Ngoja leo tu kuanzia saa mbili usiku nifanye digital detox tuone matokeo
 
bei e 500 duhu!!

hahaha pambanaga ng'ana! nehe natozuga kenu 😅
Chuu mwanike, mbona wabizile gete ute Nsukuma hange?

Usifanye chenekoo mwanike, ninage location ikesho jumapili nize nale unene. Uledaga nateseke duhu mwanike?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom