Nakosa usingizi

Nakosa usingizi

Anza mazoezi mwili uchoke.
Ikifika saa 4 achana na simu pc tv
Zima taa nenda chumbani
Fumba macho waza WWIII wewe ndio steringi
Asipolala kwa ushauri huu basi akae aangalie kombe la Dunia
 
Weekend yaendaje waungwana?

Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia

Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.

Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa kipindi cha hivi karibuni mambo yameenda kombo!

Ilianza kidogo ila sasa imekuwa intense.

Usiku nachelewa kulala, mchana na yenyewe silali, mwili una choka kabisa, na macho yana kuwa yanauma ila hayafumbi kulala

Wataalamu nisaidieni, nini kimenipata?
Circadian rhythm imeparanganyika

Una mawazo
 
Uliandika uzi adui namba 1 ni simu ebu jaribu kupunguza matumizi ikiwezekana usiweke pesa kwenye simu ili usiku bando liishe ulale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom