Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahahaha kumbukumbu LA torati
You made my day
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahahaha kumbukumbu LA torati
Sawa kabisaTena siku hizi tupo wengi kweli tunaopenda kuolewa loh.
Usijali Mungu anakuandalia ye ambaye atakukubali Kwa jinsi ulivyo na hali yako.Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
chura ndo kila kitu,Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
Wakati mwingine matendo yako ya nyuma yanaleta matokeo maisha ya baadaeKwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
Aisee.Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?