IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,677
Pole sana. Tatizo mmeleta nyie kupenda wanaume wenye pesa. Ila kama unahitaji kuwa mke wa tatu karubu PM. Nguvu za kitandani ninazo na uwezo wa kukutunza nnao!kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato ?
maskini tutaenda wapi? kwani hamuwezi kutuendeleza? kututafutia kazi au biashara? mnataka mama wa familia au hela?