Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Wanaume wa Dar hao!
Utafiti wako naona uliufanya kwa kuongozwa na hisia zaidi pasipo uhalisiakwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato ?
maskini tutaenda wapi? kwani hamuwezi kutuendeleza? kututafutia kazi au biashara? mnataka mama wa familia au hela?
ushaur wa kikatili[emoji23]Pole. Uza maandazi ndugu yangu. Zama za kulelewa na mwanaume hazipo tena. Tafuta hela utafute kidume umuoe!
Chura muhim tabia tutatekebishanaKaka unataka umchezee sio kumuoa wanawake wengi walio olewa hawana chura hivyo uzuri au chura sio kipaumbele cha mwanaume anaetaka kuoa
kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato ?
maskini tutaenda wapi? kwani hamuwezi kutuendeleza? kututafutia kazi au biashara? mnataka mama wa familia au hela?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo ni jibu mubashara, kila mmoja apambane na hali yakeMbona wewe Hapo unataka mwanaume wa Kukuendeleza, Maanake awe na Hela, Hauoni kwamba ubaguzi unaanzia kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha kumbukumbu LA torati
Wenzako wanapenda kumilikiwa. Wapo wengi tuMwanaume mario na anayemilikiwa na mwanamke namuona kama shoga tu. Mwanaume lazima uwe na umiliki wa nyumba na amri kwa mke. Iweje umilikiwe??
Aanzie kwenye maandazi, hata mbuyu ulianza kama mchichaHehe watu tunataka wanawake wenye magari wewe unasema maandazi
Hakuna mwanaume anayetaka mwanaume anayelialia shida. Apambane na hali yakeushaur wa kikatili[emoji23]
Hahahahah budaNyie ni watu hatari sana! Mkiendelezwa mnabadilika kama Kinyonga, hivyo basi kazi ya kukuendeleza ni ya wazazi wako.
Anahitajika mwanamke anayeweza kulea familia hata baba asipokuwepo.
Jitahidi ziwe nyingi, stay beautiful uone kama utakosa mumenajishughulisha ila sina hela nyingi
Hela nyingi ni kiasi ganinajishughulisha ila sina hela nyingi
Tena siku hizi tupo wengi kweli tunaopenda kuolewa loh.Pole. Uza maandazi ndugu yangu. Zama za kulelewa na mwanaume hazipo tena. Tafuta hela utafute kidume umuoe!