Hizo ni tetesi, hazina uthibitisho.Nasikia wavaa style hizi na wao wanajionaga wanaume, mpaka wanajikuta wametoa tongozo kwa jinsia nyenzao.
Sawa bibie, nimekuelewaHizo ni tetesi, hazina uthibitisho.
Duuu...hao labda wanakuwa sio wagonjwa Bali "bed rest victims".wanawatia "ashiki" wagonjwa, hahahaha
Ni wagonjwa ila hawako mahututi,hahahahaahDuuu...hao labda wanakuwa sio wagonjwa Bali "bed rest victims".
Mwanamke kunyoa kiduku kinahusika vipi na ulinzi na usalama?Pole sana mkuu, labda wanafanya hivyo kwa sababu za kiulinzi na kiusalama
Nenda zako huko, we need freedom of dress!Siyo hapo tu nenda temeke na hivyo vikondom vyako kama utaruhusiwa kuingia au uvae kimini uone. Waendelee na wangeongeza na masharti mengine ingekuwa bora zaidi.maana mnaacha kanuni na desturi mnataka uzungu. Pia nafuu umebainisha ni ya dini ambapo kazi mojawapo ya dini ki kurekebisha jamii
Mimi sijasemea kiduku, ukaguzi tu wa kawaida namaanishaMwanamke kunyoa kiduku kinahusika vipi na ulinzi na usalama?
Ile ni hospital ya kanisa katoliki. Viduku na nguo zisizo endana na utaratibu uliowekwa ni marufuku. Hongera baba askofu RuaichiMi naona wako sawa
Wanyoa viduku
Suruali hawatakiwi
Mkuu hiyo ni sheria kwenye referral Hosp zote,so unaamua tu like kuenda au kubaki kitaa.Kichwa cha habari chahusika
Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital
Kimsingi hospital ni sehemu ya kupeana faraja sasa linapokuja suala la kukaguana ovyo ovyo kana kwamba mtu amebeba madawa ya kulevya linakera Sana
Bugando ukienda umebeba bag unapekuliwa,Bugando mwanamke alievaa suruali au kunyoa kiduku haruhusiwi kuingia hospital
Sasa najiuliza ulinzi huu unatokana na nn wakati ni hospital ya shirika la kidini kiukweli Wanaboa na ukaguzi wao utadhani uwanja wa ndege bhana
Uongozi wa BMC taarifa iwafikie
Sawa naendaNenda zako huko, we need freedom of dress!