Nakerwa na masharti ya kuingia hospitali ya Bugando

Mnawalaumu bure,kuna kipindi kulikua na mapigano tarime wakajeruhiana wengi,majeruhi wengi wakapelekwa bugando sasa vile visasi wakahamishia hospital kisa hamna ukaguzi wakawa wanaingia na visu nia kuwajeruhi maadui zao humo wodini.

Ndo chanzo cha utaratibu wa ukaguzi mkali.
Pia mavazi mengine hayafai hospitalini. Suruali za kuchanika,vimini,modo au viatu vya kupiga kelele hospital vya nini sasa?
Asante kwa kutuhabarisha ndugu
 
Acha tu uongo mdada.
Huo utaratibu ulianza baada ya kuwepo tishio la kuvamiwa hospitali ilikua mwaka 2001. Kulikua na tishio la watu kuingia hospitali na silaha kutokea Uganda (nakubali kukosolewa) baada ya sheria hiyo, hata watoto 18- hawakuruhusiwa kuingia. Tuache kufanya ushabiki usio na maana. Wakurya wanahospitali wanazofanya fujo na sio Bugando
 
huyo siyo mgonjwa, mgonjwa una maumivu uwe na ashiki kweli!
heeeeee! siku ukipata muda ongea na waauguzi watakuambia visa vya wagonjwa hasa wanaume! unakuta mwanamme anatatizo amefanyiwa operation anatakiwa kumuwekea kile kidude cha kukojolea kwenye uume, lakini kila muuguzi wa kike akimgusa ili akivalishe, mtu anasimamisha kiasi kwamba ina bidi amuache kwanza hadi ipoe, au wanakuwa wakali ndio inalala
 
Mhhhhh,, basi huyo anakuwa anakaribia kupona, Malaria ya nguvu kanafemea sembuse kuchomeka catheter
 
huuu ni utaratibu mzuri sana nawapongeza sana uongozi wa Bugando.
 
Hao walionyoa viduku waende kwenye singeli na viduku vyao mengine inabidi muwe wastaarabu tu kuna watu wasipowekea sheria wataenda uchi huko hospital.

Kama umenyoa kiduku beba mtandio ukifika pale unafunika kichwa ukimaliza kumuona mgonjwa wako unaendelea kukaa na kiduku chao. Sheria lazima zifuatwe mura.
Safi sana poti, na kuhusu wanaovaa suruali sijui tuwaite wanaume wakati ni wanawake. Tutawanyoosha tu pale BUGANDO kama wameshindikana kwao.
 
Siyo hapo tu nenda temeke na hivyo vikondom vyako kama utaruhusiwa kuingia au uvae kimini uone. Waendelee na wangeongeza na masharti mengine ingekuwa bora zaidi.maana mnaacha kanuni na desturi mnataka uzungu. Pia nafuu umebainisha ni ya dini ambapo kazi mojawapo ya dini ki kurekebisha jamii
 
39b1aecb4e17433106783fa4122e50e3.jpg
Nasikia wavaa style hizi na wao wanajionaga wanaume, mpaka wanajikuta wametoa tongozo kwa jinsia nyenzao.
 
Daaah kama nakuona unavyonshushua kwa style ya vidole vya rusha roho hahaa
Acha tu uongo mdada.
Huo utaratibu ulianza baada ya kuwepo tishio la kuvamiwa hospitali ilikua mwaka 2001. Kulikua na tishio la watu kuingia hospitali na silaha kutokea Uganda (nakubali kukosolewa) baada ya sheria hiyo, hata watoto 18- hawakuruhusiwa kuingia. Tuache kufanya ushabiki usio na maana. Wakurya wanahospitali wanazofanya fujo na sio Bugando
Haina haja ya kukuelimisha tayari unajiona mjuaji.
 
Daaah kama nakuona unavyonshushua kwa style ya vidole vya rusha roho hahaa

Haina haja ya kukuelimisha tayari unajiona mjuaji.
Ukijibiwa kistaarabu na wewe uliza kistaarabu. Kuna ulazima gani utoe maneno ya kejeli namna hiyo. Kwa leo nafumba macho. Utarudia
 
Back
Top Bottom