Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Kam hizi mkuu
  1. Kuwakimbia PANYA ROAD.
  2. Kwenda saluni kutengeneza kucha.
  3. Kupenda kula chips kama dada zako.
  4. Kujipodoa kwa kuchangia vipodozi na demu wako na kushare nguo.
  5. Udaku na umbea Dar ndo kwao.
  6. Kutoboa pua na masikio.
  7. Kuvalia nguo makalioni.
  8. Kupenda kulelewa na majimama.
Yaani nyie basi tu
Hakuna hata moja ila hilo la panya road mbona wote tulikimbia had wa mkoani??Au ulisikia Panyaroad waliuwawa na wa mkoa??
 
Back
Top Bottom