Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

Wanao shabikia ccm ni either
Wanamasilahi,
Kama hana masilahi zezeta au kama hana yote hapo juu Nyumbu
 
Ni aibu sana kwa kijana kuwa shabiki wa chama cha mashetani cha hapo lumumba.

Vijana mjitambue; na achaneni na ushabiki maandazi.

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.
 
Hahaa hv mtu kama makufuli anweza kuleta mabadilizo kwel kama umeshindwa kuyaleta ndan ya nyumba utaweza kutuletea ss.ww kijana unaeishabikia ccm azima utakuwa unamaslah nayo.wanapita pita maskan kutushawish lakin hawawez mm nishawachana jitu likija na elfu ishirin yake nitajua nitakavyolifanya .pumbaaaàav

Sumaye+lowassa=13yrs Prime Ministers,huo Mfumo Hawakuuona?Walifanya Nini Kuubadilisha?Kama Kweli Walikuwa Na Nia Hiyo Kwanini Wasingehama Kutoka Ndani Ya Mfumo Huo Mapema?Hawa Vibabu Viwili Wamezaliwa Ndani Ya Mfumo Huu,wamelelewa Ndani Yake,wamezaa Humo,leo Hii Wanakaribia Kuisha Kisiasa Ndo Wanataka Kutuaminisha Mfumo Ulikuwa Mbovu Na Wapo Tayari Kuuondoa,how?Walikuwa Wapi?
 
pole mleta mada,mimi ni 25yrz na ni kada wa ccm! i exercise my political right!
 
miaka zaidi ya 50 taifa ambalo limepata uhuru hata umeme wa uhakika hatuna. halafu mtu mwenye akili timamu anasema ccm leo. watanzania tukapimwe akili.
 
napata hasira za jumla kwa vijana mnaojitambua na kuishabikia ccm. sio bure nyie mna maslahi binafsi sio ya taifa.
ninasubiri matusi kazi ya kumtoa mkoloni mweusi si nyepesi hasa kwa nyie wenye maslahi.
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Mwisho wa Ujana TanZania ni miaka 35!
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.
Si kosa lako! Shule yenyewe ya vitabu vya akina Nyangwine independent mind utaipata wapi? Mambo ya nchi huyajui, conspiracies zinazorun dunia 0 utaelewa nini?
Umesikia watu wanasema hivyo na wewe ukadakia. Kwa taarifa yako kijana vijana wafuatiliaji wa kweli wapo pande zote za siasa za taifa hili. Unafuata maneno ya akina Mbowe na wenzake bila kupima unapotoka zaidi na huenda hutalijua hilo hadi pale utakapopata akili ya kuchambua mambo. Mbowe na familia yao walishanufaika na wanaendelea kunufaika Lowasa anataka urais kwa faida yake na Masters wake, ashinde asishinde Mbowe na familia yake inaongeza vyanzo vya fedha kupitia ruzuku. Wewe umelishwa maneno CCM CCM, CCM ya Mkapa na Kikwete zimefanana? Kama CCM ni issue unampataje Edo kuwa mkombozi wa taifa ndani ya wiki mbili tangu akose tiketi ya CCM na awe na sifa zote nzuri?
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Kijana yoyote anayejitambua hawezi mshabikia fisadi kama Lowassa, vijana wa kijana tupo na Magufuli
 
Si kosa lako! Shule yenyewe ya vitabu vya akina Nyangwine independent mind utaipata wapi? Mambo ya nchi huyajui, conspiracies zinazorun dunia 0 utaelewa nini?
Umesikia watu wanasema hivyo na wewe ukadakia. Kwa taarifa yako kijana vijana wafuatiliaji wa kweli wapo pande zote za siasa za taifa hili. Unafuata maneno ya akina Mbowe na wenzake bila kupima unapotoka zaidi na huenda hutalijua hilo hadi pale utakapopata akili ya kuchambua mambo. Mbowe na familia yao walishanufaika na wanaendelea kunufaika Lowasa anataka urais kwa faida yake na Masters wake, ashinde asishinde Mbowe na familia yake inaongeza vyanzo vya fedha kupitia ruzuku. Wewe umelishwa maneno CCM CCM, CCM ya Mkapa na Kikwete zimefanana? Kama CCM ni issue unampataje Edo kuwa mkombozi wa taifa ndani ya wiki mbili tangu akose tiketi ya CCM na awe na sifa zote nzuri?

Ewaaa lumbaneni kwa hoja za namna hii ili tupate kitu,maana sina kitu mpaka "wa saa hii"
 
Unakasirika Nini?Kwani Maana Ya Demokrasia Hujui?Hivi Ni Nani Alipaswa Kukasirika Zaidi Kati Yako Wewe Au Wale Walioazima Masikio Yao,wakapoteza Mda Wao Kusikiliza Kupokea Na Kuamini Mtu Fulani Ni Mchafu,halafu Leo Walewale Tuliowaazima Muda Wetu Na Masikio Yetu Wanageuka Na Kumfuata Yuleyule Waliotuambia Mchafu?

Unataka kusema vyamavilivyoko nje ya umoja "mtakatifu" wa ukawa viko sahihi?
 
Mabadiliko yatoke kwa Sumaye na Lowassa? Are you serious?

CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia wazee wa CCM waliochokwa ndani ya CCM. It's a place for serial political and money fraudster kama Lowassa na Sumaye.

Nashangaa kijana kushabikia ujinga na upumbavu kutoka kwa wapiga deal kama Mbowe.

Hili suala la "mpiga dili" nalisikia sana na inaniuma kuona silijui,au kwa kuwa sina simu yenye uwezo wa ku-google? Hebu nijuzeni nini hiyo?
 
wew ni wa kupima. kwa hiyo unawaza wote wana akili kama zako? wanaojielewa hawawezi kuunga mkono umoja usiojielew wa UKAWA... maana naona ni CHADEMA. labda niongezee napata mashak sana kwa mwanachama halali wa CUF, NCCR na NLD kuamini UKAWA itawanufaisha... ni heri hata hili liCCM tunalijua kuliko kumkabiz Fisi akalishe mifugo shambani.

Mmh hapa nasikia harufu ya mambo yetu ya kukomba mboga!
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Ni dhahiri akifikisha 55 lazima awe mganga Wa kienyeji!!
 
Unataka kusema vyamavilivyoko nje ya umoja "mtakatifu" wa ukawa viko sahihi?

Umoja Mtakatifu?Umoja Wa Kumtukana Mtu Yoyote Anayekosoa Chochote Kinachoendelea?Kosa Lenu Ni Kuto Simamia Misingi,mmerubunika Kwa Vijesenti Vya Kibabu Lowassa Aliyefilisika Kisiasa Na Anatumia Effort Za Watz Waliojitoa Kwa Ajili Ya Chama,waliojenga Chama Kwa Kutimiza Adhma Yake Ya Kupata Madaraka Ambayo Hadeserve Kuwa Nayo.Its Better Kwa Hao Walio Nje Ya Umoja Wa Kipumbavu Kwa Kuwa Wanaweza Kusimamia Misingi Yao Waliojiwekea,hawajarubunika Kwa Wenye Vijisenti Kama Lowassa...
 
Back
Top Bottom