Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.
 
Unakasirika Nini?Kwani Maana Ya Demokrasia Hujui?Hivi Ni Nani Alipaswa Kukasirika Zaidi Kati Yako Wewe Au Wale Walioazima Masikio Yao,wakapoteza Mda Wao Kusikiliza Kupokea Na Kuamini Mtu Fulani Ni Mchafu,halafu Leo Walewale Tuliowaazima Muda Wetu Na Masikio Yetu Wanageuka Na Kumfuata Yuleyule Waliotuambia Mchafu?
 
Hivi ulitaka kijana anayejitambua amshabikie fisadi??
 
Eti upenzi wa chama kwa umri!!! Kamshawishi Gwajima na Lissu. Hafuati upepo mtu hapa.
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.
Siwezi kukulaumu wewe pengine ni tatizo la watu wanaokuzunguka, bila shaka watu hao watakuwa wanatoka kazkazn,
Kuna mda wa mabadiliko lakini sio huu, situka na uangalie nani anakuzunguka ndo uje humu.Kuna kipindi kama kijana pima kanza nani atakutoa hapo. Magufuli ndo anaeweza akakupeleka mbele achana na wapiga dili.
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Nakasirika nikiona mburula kama wewe ameshupaza shingo kuziba demokrasia na uhuru wa mawazo.
Nakuandalia cd mbili moja ya Mkapa na nyingine ya Mshenga Gwajima
 
wew ni wa kupima. kwa hiyo unawaza wote wana akili kama zako? wanaojielewa hawawezi kuunga mkono umoja usiojielew wa UKAWA... maana naona ni CHADEMA. labda niongezee napata mashak sana kwa mwanachama halali wa CUF, NCCR na NLD kuamini UKAWA itawanufaisha... ni heri hata hili liCCM tunalijua kuliko kumkabiz Fisi akalishe mifugo shambani.
 
Lowassa ujana wote na utajiri kaupatia Ccm, Vijana wanaotaka Mafanikio kama Lowassa hufuata nyayo zake
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Wewe darasani kwenu inaonekana ulikuwa kilaza sana.ficha basi ujinga wako?
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Akili yako ni fupi mkuu.....

Lowasa ana miaka 44 ?

Wapi huko ulisoma ukiwa na miaka kiasi Fulani uwe chama Fulani...

Kwa kifupi wew pimbi tuu...
 
Nikimuona kijana below 45 anashabikia CCM, wale mnaojua hoja zao zisivyo na mshiko najikuta kukasirika.

Jamani watu wengine wameumbwa na bongo za polepolee sana za kuelewa na kusoma alama za nyakati.

Mimi nakerwa zaidi kijana kushabikia upinzani ni sawa na mtoto anayeshabikia hawara ya mama yake badala ya baba yake
 
Hahaa hv mtu kama makufuli anweza kuleta mabadilizo kwel kama umeshindwa kuyaleta ndan ya nyumba utaweza kutuletea ss.ww kijana unaeishabikia ccm azima utakuwa unamaslah nayo.wanapita pita maskan kutushawish lakin hawawez mm nishawachana jitu likija na elfu ishirin yake nitajua nitakavyolifanya .pumbaaaàav
 
Mabadiliko yatoke kwa Sumaye na Lowassa? Are you serious?

CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia wazee wa CCM waliochokwa ndani ya CCM. It's a place for serial political and money fraudster kama Lowassa na Sumaye.

Nashangaa kijana kushabikia ujinga na upumbavu kutoka kwa wapiga deal kama Mbowe.
 
Unakasirika Nini?Kwani Maana Ya Demokrasia Hujui?Hivi Ni Nani Alipaswa Kukasirika Zaidi Kati Yako Wewe Au Wale Walioazima Masikio Yao,wakapoteza Mda Wao Kusikiliza Kupokea Na Kuamini Mtu Fulani Ni Mchafu,halafu Leo Walewale Tuliowaazima Muda Wetu Na Masikio Yetu Wanageuka Na Kumfuata Yuleyule Waliotuambia Mchafu?

kama mchafu kwa nini serikali haimfunguli mashitaka au serikali nayo ni chafu wanaogopa
 
Back
Top Bottom