Nakala ya SMS.

Nakala ya SMS.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Wakuu,
Kuna dada ananiambia kuwa mchumba wake alimwomba simu, akaifanyia kitu/utundu fulani, matokeo yake huyo jamaa amekuwa anapata nakala ya msg zote zinazotumwa kwa huyu dada.

Ninachotaka kujua je hiyo kitu inawezekana kwel? Kama kweli inawezekana mbona ni hatari sana kwa mahusiano?

Naombeni usaidizi kwa hili.
 
Unachotakiwa ni kuinstall software zipo nyingi sana ila nzuri ni smstrack ila jitahidi kuweka vocha kwenye hyo simu unayotrack maana kama haina hela haitumi sms charges ni zilezile za kawaida sms sh 40!
 
Du ipo sana sio nakala hata calls details zote unapata! Don't try it at home!

hii huwa naisikia, lakini sijawahi kuhakikisha. Wengi hudivert tu... Lakini kama yapo na unayajua haya mautundu funguka jembe
 
Unachotakiwa ni kuinstall software zipo nyingi sana ila nzuri ni smstrack ila jitahidi kuweka vocha kwenye hyo simu unayotrack maana kama haina hela haitumi sms charges ni zilezile za kawaida sms sh 40!

Maumizu ya kichwa huanza pole pole...
 
Wakuu,
Kuna dada ananiambia kuwa mchumba wake alimwomba simu, akaifanyia kitu/utundu fulani, matokeo yake huyo jamaa amekuwa anapata nakala ya msg zote zinazotumwa kwa huyu dada.

Ninachotaka kujua je hiyo kitu inawezekana kwel? Kama kweli inawezekana mbona ni hatari sana kwa mahusiano?

Naombeni usaidizi kwa hili.

1-888-475-5345
Mobile Monitoring Software for iPhone, Android, BlackBerry, Symbian OS Tracking
​

updated.png

​

teasert.png

Silently monitor text messages, GPS locations, call details, photos and social media activity. View the screen and location LIVE!
i1.png

RECORD TEXT MESSAGES
SMS, iMessage, WhatsApp

i4.png

TRACK GPS LOCATIONS
GPS Locations at Any Interval

contacts.png

MONITOR SOCIAL MEDIA
Facebook Messenger and Twitter

i2.png

LOG CALL DETAILS
Logs Calls Made or Received

i3.png

WEBSITE MONITORING
URLs Visited in the Web Browser

photos.png

PHOTOS AND VIDEO LOG
Record Photos and Videos Taken

uninstall.png

APPLICATION BLOCKING
Block Any Apps You Choose

cell_id.png

LIVE CONTROL PANEL
LIVE Screen and more (Optional)

MOBILE SPY USES
 
Waafrica hatuna jipya ni hayahaya tu ya organs/genitals.ndo tunayaweza barabara.
 
Nikupe ofa kaka kama unataka lakini iwe installed kwa simu ya shemeji I mean ye ndo awe anapata copy from u....
Hahahaa!
Hii ni sumu ya ndoa.
Na usiombe mkeo afunge kwa siri hii kitu kwenye cmu yako, you are doomed!
 
[h=1]Monitor Everything They Do with eBLASTER Mobile[/h][h=2]Learn More for Android[SUP]™[/SUP] »[/h]eBLASTER Mobile for Android automatically records both sides of email messages, text messages, websites visited, GPS or cell site location, and details about incoming and outgoing calls.
[h=3]Features Include[/h]
  • SMS / Text Messages
  • Web Browser History
  • Location Tracking / Geofencing Alerts
  • Voice Call Log
  • Copies of Photos Taken
  • Review from Anywhere
  • Change Settings Remotely
Try eBLASTER Mobile for Android today. Simply download & install the software, and begin tracking everything they do on their Android phone!

[h=2]Learn More for BlackBerry[SUP]®[/SUP] »[/h]eBLASTER Mobile for BlackBerry automatically records both sides of email messages, text messages, instant messages, GPS or cell site location and details about incoming and outgoing calls.
[h=3]Features Include[/h]
  • SMS / Text Messages, BBM, and IM
  • Email Messages
  • Location Tracking / Geofencing Alerts
  • Voice Call Log
  • Copies of Photos Taken
  • Review from Anywhere
  • Change Settings Remotely
Try eBLASTER Mobile for BlackBerry today. Simply download & install the software, and begin tracking everything they do on their BlackBerry phone!
 
Unachotakiwa ni kuinstall software zipo nyingi sana ila nzuri ni smstrack ila jitahidi kuweka vocha kwenye hyo simu unayotrack maana kama haina hela haitumi sms charges ni zilezile za kawaida sms sh 40!

Mkuu naiomba hii? Inapatikana madukani mwetu hii? Nataka tu nifunge kwa simu ya mamsapu ili ajua mimi niko clean!!! Ha ha ha!!
 
Wakuu tusijitafutie magonjwa bure, amini tu "hanisaliti"
 
mkuu anatumia simu gan ungetoa details hizo tungeanzia hapo
Mkuu,
Mtu aliyefanyiwa hilo hana uwezo wa kumiliki simu ya zaidi ya 100K, sanasana ni Techno ya kawaida ambayo hata si smart-phone.
Lkn to her surprise alifowadiwa sms zote alizotumiwa na mtu mwingine, ambapo hao wawili hata hawajuani(actually ni competitors). Na hali hii imemfanya huyu dada aingie matatizoni kwa habari ya mahusiano.
 
Back
Top Bottom