kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
wabunge wa viti maalum maamuzi yatatolewa baada ya uchaguzi mkuu, wote waliambiwa waende majimboni wakahamasishe ili kuzoa viti vingi. kwa hiyo mchango wa mgombea viti maalumu ndiyo utakao judge nani awe na nani asiwe, hiyo ni katika kutekeleza falsafa ya siyefanya kazi na asile, huenda Nakaaya ameshindwa kufanya kazi hiyo na ameona kuwa hatapata viti maalum. kwa hisani ya watu wa marekani.Nakaaya Sumari ameamua kujitosa katika kinyang"anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia chama cha demokarisia na maendeleo (Chadema) kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo mjini Arusha.
VIPI UBUNGE ALIKWAMA? Pole sana mama....... Rudi ukale hela za kodi yetu na migodi. Ila angalia usije ukawa umekosea.