Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

Nikisoma comments ni kama kuna msiba vilee..WAPIGANAJI Wenzangu wa CHADEMA msijali,mimi binafsi naamini ni JESHI BALAA,So mtu kama nakaaya kuondoka hakuna Ishu ni kama ka-inzi kalikovamia msafara.CHADEMA tusonge mbele..UKIONDOKA wewe unayejisikia hovyo sasa mi ndo ntaumia..VOTE FOR DR SLAA
 
hayuko strong kama unavyofikiri, kafulia hivyo kuona wasanii wenzake wakipata fedha za kampeni kutoka ccm karubunika. Afterall ni mmoja wa machangu wake, alikuwa kapigwa kibuti hivyo kaitumia chdema kujisogeza karibu yake. Hana tofauti na sitta

Huu ni mtizamo wangu tu mkuu Jatropha.
Inatia huruma kuwa Nakaaya kalazimika kula matapishi yake. Siasa ni contact sport na inahitaji moyo wa jiwe. Amejaribu ya kwake na amefikia tamati. Siwezi kumuita malaya maana itakuwa too much for what she's just done.
 
Nikisoma comments ni kama kuna msiba vilee..WAPIGANAJI Wenzangu wa CHADEMA msijali,mimi binafsi naamini ni JESHI BALAA,So mtu kama nakaaya kuondoka hakuna Ishu ni kama ka-inzi kalikovamia msafara.CHADEMA tusonge mbele..UKIONDOKA wewe unayejisikia hovyo sasa mi ndo ntaumia..VOTE FOR DR SLAA

Chadema inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Watu walisimama tu kidogo kuomboleza kilichotokea
 
kalogwa???????????????????????????????????????????????????????????????????????????/

Ukimsikiliza kwenye huu wimbo wake mtamu kama nini Mr Politician, huwezi ukaamini alichokifanya, nadhani atajutia. Lakini ni nani anajua yawezekana kabisa ameahidiwa vitu vikali sio bure tu! Msanii kwa msanii! Nimesononeka mimi lakini!
 
Huu ni mtizamo wangu tu mkuu Jatropha.
Inatia huruma kuwa Nakaaya kalazimika kula matapishi yake. Siasa ni contact sport na inahitaji moyo wa jiwe. Amejaribu ya kwake na amefikia tamati. Siwezi kumuita malaya maana itakuwa too much for what she's just done.
Kumbe utu unao... nilifikiri umefilisika kama jamaa zetu...
 
Huyu nilishamsoma tangu kipindi kile alipofunga "ndoa" na msanii wa Dead Prez akadanganywa atapewa contract na Sony, kumbe chizi anajipigia tu! Akarudi bongo analalamika wamemwonea, hayuko makini huyu sista.
 
Sasa ni wakati wa CHADEMA kuanza kuangalia upya kila mwanachama anaejiunga ana lengo gani ndani ya chama.
Wengine kama huyu Nakaaya inajulikana wazi walikuwa wanataka nafasi ya uongozi ndani ya chama ili waende bungeni bure.Mimi toka siku ya kwanza kabisa anajiunga nilijua huyu hana lolote akikosa anachotaka atarudi CCM.
Nani asiejua kuwa JK kashapita na Nancy ambae ni dadake?Its obvious kurudi kwake tayari jamaa wameshajua watamchomeka wapi.

SHAME ON YOU Nakaaya.Iskariote mkubwa
 
Haah, huyu dada njaa zake tu na tamaa ndo zinamsumbua. Mafisadi na waongo ndo chama chao, mwacheni aende akapige mapambio majukwaani kwani amesikia kuna posho.
Vipi, hajapewa nafasi kumsindikiza mgombea?
 
Sasa ni wakati wa CHADEMA kuanza kuangalia upya kila mwanachama anaejiunga ana lengo gani ndani ya chama.
Wengine kama huyu Nakaaya inajulikana wazi walikuwa wanataka nafasi ya uongozi ndani ya chama ili waende bungeni bure.Mimi toka siku ya kwanza kabisa anajiunga nilijua huyu hana lolote akikosa anachotaka atarudi CCM.
Nani asiejua kuwa JK kashapita na Nancy ambae ni dadake?Its obvious kurudi kwake tayari jamaa wameshajua watamchomeka wapi.

SHAME ON YOU Nakaaya.Iskariote mkubwa

sita sikiliza nyimbo yoyote ya nakaya, na wala sita nunua cd yoyote
 
BREAKING NEWS: Mchukia fisadi arudisha kadi ya ccm na kurudi chadema. Kwa habari zilizotufikia Mchukia fisadi anamsubiri Dr Slaa atakapokuwa anazunguka raundi ya pili ampatie kadi mpya ya chadema.
Mchukia fisadi anasema wizi mkubwa ulio ndani ya chama cha sisi majizi imemfanya ashindwe kukaa katika chama hicho.
Pipooooooooooooooooozi?..................
 
Msiwe na wasiwasi. Hata kama woote watarudi CCM. Hata kama Dr. Slaa atarudi CCM.

Ukweli ni kuwa tayari wameshachelewa maana moto umeshawaka na hauzimiki tena.

Watanzania siyo mabwege tena. Kama siyo mwaka huu basi hata mwaka 2015 ataibuka Slaa mwingine.

Wee Dada rudi tu Salama huko CCM ulikotoka. Hakuna baya lililotokea.

Acheni kumuandama kwa maneno na matusi kwani ndiyo DEMOKRASIA.

WATABAAAAAANA ila kuna mwaka WATAACHIA tu na CCM chali...... MLIWA naye hula kidogo.
 
Mimi namtakia kila la heri na fanaka zake. Kazi sasa itakuwa kupambana na kina Dokii ili kupata namba one ndani ya chama.
 
BREAKING NEWS: Mchukia fisadi arudisha kadi ya ccm na kurudi chadema. Kwa habari zilizotufikia Mchukia fisadi anamsubiri Dr Slaa atakapokuwa anazunguka raundi ya pili ampatie kadi mpya ya chadema.
Mchukia fisadi anasema wizi mkubwa ulio ndani ya chama cha sisi majizi imemfanya ashindwe kukaa katika chama hicho.
Pipooooooooooooooooozi?..................

hahahah.....umetokea wapi sasa?
 
Ni tukio la kusikitisha lakini ni muhimu sana. Huwezi kutegemea mavuno mazuri kama shamba limejaa magugu. Huyo hakuwa mwanamapinduzi na kuondoka kwake kunatakiwa kuwa faraja kwa wapinganaji. Ni heri kuwa na jeshi dogo lenye wapiganaji ambao wanapigana kutoka ndani ya mioyo yao kuliko kuwa na watu wakibao wanasubiri kugombania mali za mateka wa vita. Nakaaya amejigundua kuwa hana ujasiri wa kiana mapinduzi. Ngoja aende mapema ili shamba liendelee kustawi.
 
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM ndicho chama pekee Tanzania.

Huyu binti ana busara sana kuliko wengi hapa JF. Amefikiria akagundua
 
Back
Top Bottom