Mimi mpaka nione maeneo yangu ndio niweke neno maana huwezi nipangishia nyumba bila kukagua choo
Hahahah umenifurahisha sana sister.Eti wanahela na muda wa kutosha..Duh utalii wa ndani huuDaah hivi kama ni kweli hawa waschana ni Watanzania kwanini umewaleta hapa hata umeweka na mahali wanapatikana kiuhalisia? Tena watu wengi wameonesha kuwatambua. .... ila kama wenyewe hawana shida na hilo basi sawaa.
Utafanya usafiri wa gongo la mboto leo uwe wa shida..... kuna wanaume huko Dar wana hela nyingi za ziada na muda wa kutosha.... hehehehehee.
All in all they are cute.
Hivi we bibi mbona unapenda kila mwanamke asiolewe kama wewe wewe abaki kuwa dungaembe tu?!! Naona unajutia sana kutokuolewa halafu ukicheck hata mtoto wa kusingiziwa huna halafu ukicheck menopause ilishagonga hodi kabla hata ya jk hajaondokaBado ni waschana chini ya miaka 25, wote ni warembo wana rangi au ngozi nzuri, kama ni asilia basi ni warembo kweli ila kama rangi imesaidiwa na make up au cream.... wakifika miaka 35 na kuendelea watazeeka.
Ila kama wako kiasilia na wataendelea kuishi hivo basi watazeeka na uzuri wao.
Wakiishi vizuri kwenye huu uschana wao hata wasipoolewa hawatajutia uzeeni.
I love their smiles....
Naona umeamua kuwapigia promo dada zako,,,,,,vyumaaaaa!!!Wa katikati ni wife material. Wa kulia lips zake za chini pia ni pana sana.