Nakaa nao Ukonga, ni jirani yangu yupi hapa kaharibu picha ?

Daah hivi kama ni kweli hawa waschana ni Watanzania kwanini umewaleta hapa hata umeweka na mahali wanapatikana kiuhalisia? Tena watu wengi wameonesha kuwatambua. .... ila kama wenyewe hawana shida na hilo basi sawaa.

Utafanya usafiri wa gongo la mboto leo uwe wa shida..... kuna wanaume huko Dar wana hela nyingi za ziada na muda wa kutosha.... hehehehehee.

All in all they are cute.
Wanahamasisha utalii wa ndani!
 
31318081_781982188653852_548173522166349824_n.jpg
ebwana...eeehhhh"" mkuu naomba namba zao ...nataka niwatafutie kazi ""
 
Back
Top Bottom