Kwanini Dar es Salaam siyo Pwani? Nini maana ya Pwani?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,553
1,428
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
 
Logic ya muliza Swali anamaanisha kwanini Mkoa wa Dar es Saalam haukuitwa Pwani
Tungepata kwanza asili ya jina Dar Es Salaam kabla hatujakimbilia kuwa kwanini haukuitwa Pwani.

Hata hivyo Dar imezungukwa na mkoa wa Pwani kwa pande za magharibi, kaskazini, kusini. Huku upande wa Mashariki ni Bahari ya Hindi ilipo Bandari Salama
 
Wamekuchanganya ,tatizo ni huu mkoa unaitwa pwani ndio unachanganya watu,bora ungeitwa Rufiji au Kibaha kabisa.

Pwani ni ukanda hata maeneo mengi ya japan yapo pwani,ila yana majina kama Nagasaki ,tokyo ,osaka.
 
Ukisoma vzur nmesema 'kwa uelewa wangu' hivyo nimeomba kueleweshwa
Pwani ni ukanda tu ,hata zanzibar ni pwani..Sema hapa bongo tumekosea ule mkoa kuita pwani ..


Mpaka sasa pwani ni mikoa hii Dar ,Tanga, lindi , Mtwara , Zanzibar ,visiwani pia ni pwani ...Ukienda hata ulaya kuka coastal regions.

Ni ukanda tu sio mkoa wala nn ,kama pakiwa na ziwa ni kanda ya ziwa kwa hiyo nature ya Mwanza na kagera wote ni kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom