Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
- Thread starter
- #81
nishasema sitaki MTUKwa hicho ki-English, hata wale vijana makini waliokuwa na nia ya kukunyatia humu, weshakukimbia!.
Siitaji
nishasema sitaki MTUKwa hicho ki-English, hata wale vijana makini waliokuwa na nia ya kukunyatia humu, weshakukimbia!.
weeee!!! Waulizewamekukimbia sababu ni mbovu wa shape na sura
Ungesema unafanyakazi tiaraei mkuu hata unekuwa 6040 bado tunadunda kabisa. Huyu binti atutake radhi. Halafu mi hakuwa na shida na fact kuwa sio 'mgane', mpaka nilipomuambia mi ni mwalimu. Acha tu nibaki kwenye njia yangu kuu. Sichepuki tena.
Ukiwa tayari uweke vigezo vya kutosha ili wengine wajitoe kwa hivyo vigezo.wakubwa sana wababa Kweli hadi nikaona aibu
Kumbe na ulikwepo kwenye kinyang'anyiro??..Tuandae revenge aisee..Hawezi kutuchezea hivi huyu mtt mdogo
wakubwa sana wababa Kweli hadi nikaona aibu
ahaaaa kwaiyo wakajimwaga? ila naommba nikukumbushe kama unataka kitu roho inapenda sio jf badili njia humu ni majanga.
Ni kweli watu walioko jf ndo tunaishi nao mitaan ila usijaribu kuwa na mtu kutoka jf na bora ukutane na mtu ambae hujui kuwa yuko jf ila uwe umeridhika naye from the begining. Jf NOOO!
Ninachokiamini jf kuna good "just a friend" ila sio mahusiano take note
wakubwa sana wababa Kweli hadi nikaona aibu
Wrong guess, I am who I am and you will see me only in Kasie's ID
Kwa kweli mi sijakusamehe binti. Huwezi kutuchezea watu wazima namna hii.
shostisho ni shiiieder chezea vibabu weye
wakubwa sana wababa Kweli hadi nikaona aibu
Bado mi application yangu hujaijibu unakuja kulialia. Nasubiri jibu pm