Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Unajifanya unakomaa na siasa utawehuka ebu mcheki [MENTION]Agnessjuma [/MENTION]lakini ujithibitishe mwenyewe kuwa sio kibabu kimwili,kiakili na hata ikibidi mfukoni pia
mkuu miye bado nikijana hata 30 bado sijagota haki ya nani
 
cku nyingine wenzio wenye uhitaji kwel unawawekea ugumu kukufanikiwa shida zao
 
Hii mitandao imezalisha Wajinga wengi
 
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.

Baada ya ile tangazo kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao tu mimi sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.

Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari nisameheni sana hata simu nimebadili.

Hata hivo mkumbuke mwisho wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu.

One love
Mwambie yule boss wako anayejua siku zako
 
  • Thanks
Reactions: lig

Similar Discussions

Back
Top Bottom