Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,547
Hata naogopa. Kufungua pm .
Sirudii tena
Mi msitaraaarabu hujapata kuona. Usiogope
Hata naogopa. Kufungua pm .
Sirudii tena
nimeomba msamaha acha uchochezi
We mgane?
Vigezo na masharti hamkuzingatia....
Eti wenye miaka 40 ni wakubwa sana eeeh????
Sitaki mapenzi bwana.sitaki kusema uongo..sitaki kuumiza MTU wala kuumia.sipo tayariMi msitaraaarabu hujapata kuona. Usiogope
Sitaki mapenzi bwana.sitaki kusema uongo..sitaki kuumiza MTU wala kuumia.sipo tayari
40 bado tunadunda kabisa. Huyu binti atutake radhi. Halafu mi hakuwa na shida na fact kuwa sio 'mgane', mpaka nilipomuambia mi ni mwalimu. Acha tu nibaki kwenye njia yangu kuu. Sichepuki tena.
ahahaaSi ulisema mwenyewe, mi siondoki hadi unipe jibu la ndio.
Hapo sasa?Ka research ka aina yake....
Madomo zege ndo wamekuja... wanaume tutafute watu laiv, hkazini,mtaa wa nne, kwenye sherehe, nyumba za ibada...ilimradi muonane... unataftia mwanamke fb? Kweli? Afu 40&above?
hata unipe ndege sitakiBasi njoo kwangu mremboo hapa utapata rahaa zotee. Nipe Accnt yko pia unajua Ku drive!! Vitu vingne mtoto nitafute pembeni mi age yang ni 41! Sina kitambii kabisaaaa
hata unipe ndege sitaki
Sitaki mtu sitaki chochote
Hahahahaaaa nilitaka niseme kitu lakini basi.
Kama vipi nitafute pm nikuambie.
Kumbe siku hizi upo upo na huku best, ulikuwaga unasoma tu unasepa
Hahahaaaa best nikiona kitu cha kunichekesha kama hivi najibu ila sijahamia.
Niko siasani kwa sasa hata umbea nimeacha.