Kwa kweli mi sijakusamehe binti. Huwezi kutuchezea watu wazima namna hii.
asanteUmesamehewa ila usirejee tena masihara jukwaani
Ttzo mm nishamuacha mke wangu kwa ajili yako
Jamani mrembo wangu usininyime usingizi! Mke wangu amefariki ameniacha na Glades wanguu nahitaji mama wa kunilea mim na glades wanguu! Age ya glades ni mwaka 1. Tusaidiane mumy kufurah hu muda uliobaki hapa kwa dunia Mtikila keshs wah
Kwa kweli mi sijakusamehe binti. Huwezi kutuchezea watu wazima namna hii.
sasa. Cha hamnazo kwenye ushauri Wa diamond ni nini? Siku Ivan akichukua hatua ndo utajua sheria hainaga kuuza sura.Kwa lile bandiko lako la kumshauri Diamond kule Celebrities nilikuonaga hamnazo kabisa!...nilipokukuta tena Love Connect nikajua ni stress tu,maisha yashakuchapa!
Ni kweli unaamini kuna mwanaume wa miaka 40 alieumia moyo kwa ajili yako 'a total stranger!?'
usikute umeleta sanaa chuo cha sanaa bagamoyo!
vijana na nyie ovyooouliyataka mwenyewe mi nilikwambia tupe nafasi hiyo sisi vijana tulio na mipango ya kuoa, we unang'ang'ania miaka 40
wakubwa sana wababa Kweli hadi nikaona aibu
we we unajua mi nipoje? Mtu Wa 45 48 unadhani yupoje kuwa fair na comment zakoWe kwani una umri gani, je umri huo wa fourty, hakujua atakuwa namna gani au Dharau tu ilikujaa!!, kwanza fourty si mkubwa. Nijuavyo hakunaga mwanaume mzee kwa mwaonamke , tembea uone variances.
sasa. Cha hamnazo kwenye ushauri Wa diamond ni nini? Siku Ivan akichukua hatua ndo utajua sheria hainaga kuuza sura.
Ukweli always unauma lakini
we we unajua mi nipoje? Mtu Wa 45 48 unadhani yupoje kuwa fair na comment zako
walaaa hunitishi kama mi ni hamnazo utajiju mwenyewe.sawa bibie baki na huo 'ukweli' wako na mimi nibaki na UKWELI wangu,wewe ni hamnazo kabisa!
Ukweli always unauma lakini!