Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.

Baada ya ile tangazo kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao tu mimi sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.

Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari nisameheni sana hata simu nimebadili.

Hata hivo mkumbuke mwisho wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu.

One love
Pole ila usiwe unatafuta pm kwa lazima,..kuna watu wako sirias. Usicheze na hisia za watu bana..
 
Mm nawaambia kila siku mnahangaika kuweka mabandiko humu ya kutafuta wanaume/wanawake majibu yake ndo haya mtu aliweka vigezo miaka 40 as if hjawah waona wenye miaka 40 wakoje halaf hapo hapo anajinasibu kuwa yeye ni mstaarabu ustaarabu uko wapi? Hayo matangazo mnayoweka may be mnakuwa mnataka comment tu
 
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.

Baada ya ile tangazo kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao tu mimi sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.

Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari nisameheni sana hata simu nimebadili.

Hata hivo mkumbuke mwisho wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu.

One love
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amazing, 40+ ni wababa sana? Lakini pia hutaki vijana...![emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.

Baada ya ile tangazo kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao tu mimi sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.

Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari nisameheni sana hata simu nimebadili.

Hata hivo mkumbuke mwisho wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu.

One love
Kha! kwani wee uko darasa la sita hata ukataka kurukia kazi za waliokuzidi umri?eti unasema miaka 40 ni wazee? haukua serious wewe!,siku nyingine usirudie huo ujinga wako,baki hivyo hivyo na kuchagua kwako wapenzi mwisho wa siku miaka inaenda unajikuta ushazeeka na wanawake mnavyojua kuzeeka haraka sijui atakutaka nani, utatafuta hata wa miaka 50 na usimpate ukaishia kugegedwa na vimario uchwara.
 
nimekusamehe ila gharama zangu utanirudishia coz mizinga uliyokuwa unanipiga sio ya kitoto
 
Hivi kumbe kuna watu wanakuwa na nia kweli ya kutafuta mwenza mitandaoni? Hivi tuseme tatizo ni udomo zege au? Wonders shall never end!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom