Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

Me ni mtu mstaarabu saana.yes I got some weaknesses!
Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana
Msema Kweli mpenzi Wa mungu naombeni mnisamehe.
Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.
Baada ya ile tangazo Kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.
Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao Tu.me sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.
Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh ! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma
Mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari.nisameheni sana .hata simu nimebadili .
Hata hivo mkumbuke mwisho Wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu .
One love

Pole sana, ni pm basi
 
walaaa hunitishi kama mi ni hamnazo utajiju mwenyewe.
We we una kitu gani Sijui.
Sili sipumui kwako and I will never be!
Your just a useless figure to me so what shall I care??
Pls reserve your comments and your idiotic insults cause I don't care at all!

aiseee!...hamnazo uwe wewe,kujiju nijiju mimi tena?
Umegombana na 'useless figures' ambazo huli wala hupumui kwao and you will never be, hadi umebadili namba ya simu!,una akili wewe sasa!!!?
Umeanzisha mada kwa kiswahili,unakuja na kizungu chako cha ugoko ili iweje?
We hamnazo kabisa!
Kwaheri!
 
go and roast in hell.useless man
Umeitwa kwenye post zangu??umealikwa ??? We ndo hamnazo kabiiisa huna kitu
Kafie mbali huko kama mtikila
I hate u to death!
 
asante!
...mmmmmwaaa!.la 22,
....mmmmmwaaa!...la 23,
...k!azi unahesabu lakini?
 
asante!
...mmmmmwaaa!.la 22,
....mmmmmwaaa!...la 23,
...k!azi unahesabu lakini?
nishakusoma mahali kumbe una stress za maisha kishenzi sasa hasira zako unataka kumalizia watu humus
Poor kid! Am sory from.now on pls stay away from me!
Usinifanye nifungiwe bure
 
wacha weeee!..kumbe huna sababu basi ya kulialia humu hujajipanga kimaisha!,kuwa Mnajimu tu...umepatia,mi nna stress za maisha kisheeeeeenzi,ndo mana nakuona hamnazo unavyonichukia to death!
Lala kikojozi bhana!
 
walaaa hunitishi kama mi ni hamnazo utajiju mwenyewe.
We we una kitu gani Sijui.
Sili sipumui kwako and I will never be!
Your just a useless figure to me so what shall I care??
Pls reserve your comments and your idiotic insults cause I don't care at all!
Kwa hicho ki-English, hata wale vijana makini waliokuwa na nia ya kukunyatia humu, weshakukimbia!.
 
Miaka 40 ndo wazee kabisa hahahah wasamehe wako in midlif criss
 
umewaumiza wababu mioyo yao, another heartbreak frm a woman..msiwafanyie hvyo jamani..nao walikuwa na dream ya kufanana na Mengi angalau ktk sekta moja...bora ungesema 40 and fit
 
Me ni mtu mstaarabu saana.yes I got some weaknesses!
Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana
Msema Kweli mpenzi Wa mungu naombeni mnisamehe.
Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu kiukweli kivile maana sijajipanga vizuri kimaisha.
Baada ya ile tangazo Kweli nilipata watu ila nimeishia tu kugombana nao.
Ila na wao wana makosa maana nilisema ninataka mtu mgane ila wao wameachana na wake zao Tu.me sikusema nataka watalaka.kwa iyo mnaonilaumu nimewaumiza mioyo yenu na nyie hamkufata maelezo vilevile.
Pia nilitaka mtu mzima maana vijana sio wakweli ila nine notice miaka 40 kwenda juu kumbe wanakuwa wababa sana loh ! Inakuwa shiida jamani me sio mkubwa kiviile nioneeni huruma
Mwisho naombeni mnisamehe nitarudi tena nikiwa tayari.nisameheni sana .hata simu nimebadili .
Hata hivo mkumbuke mwisho Wa siku anatakiwa mmoja mtu akikuambia hataki we kubali tu .
One love

ahaaaa kwaiyo wakajimwaga? ila naommba nikukumbushe kama unataka kitu roho inapenda sio jf badili njia humu ni majanga.

Ni kweli watu walioko jf ndo tunaishi nao mitaan ila usijaribu kuwa na mtu kutoka jf na bora ukutane na mtu ambae hujui kuwa yuko jf ila uwe umeridhika naye from the begining. Jf NOOO!

Ninachokiamini jf kuna good "just a friend" ila sio mahusiano take note
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom