Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Kwa pembeni kidogolazima utakuwa mganga toka Nigeria
Kwa pembeni kidogolazima utakuwa mganga toka Nigeria
Tatizo mnasoma kozi kwa kufuata mkumbo bila kuangalia soko la ajira.Mara BBA,HR,Socilogy n.k.Ungesoma education ungejikuta sasa hivi unapiga mluzi tu.Somo zuri sana wengine wajifunze
Habari zenu ndugu,
Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.
Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma HR ambazo hazina ukweli wowote.
Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.
Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?
Kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.
Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.
Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.
Umeona eeh, umesomea nini? Haaah haaaah graduate from St Joseph nini?
Dhihaka si nzuri,Nenda kwa mtaalamu atakuunganisha kifurushi cha experience cha maika hata mitano just in a minute!
Hawa watu wameruhusiwa lini kufanya kazi?serikali si ilishawapiga marufuku?na pia wameshakidh vigezo na masharti ya wizara ya mama Kabaka?Mkuu kama upo dar..peleka cv yako erolink then ni pm nikusaidie upate pesa ya sabun angalau....
Hawa watu wameruhusiwa lini kufanya kazi?serikali si ilishawapiga marufuku?na pia wameshakidh vigezo na masharti ya wizara ya mama Kabaka?
Nimeuliza tu.Na uzuri umetoa majibu mujarabu ambayo yatasaidia wengine kujua kinachoendelea,yalikuwa ni maswali ya kiuchokozi tuMkuu hili unasema ww...erolink wapo leo kesho na hata mwakan..serikal ilishasanda zaman...kama uaminin nenda voda customer care mshahara uleule na wapo had sasa...serikal haiko makin hii usipoteze muda wako...
wanaponnda education ni mbaya ni yakimasikin or cjui nini ila wakikosa kazi wanaitafuta tena wanaifanya kwa manyanyaso
Dhihaka si nzuri,
Jeshi lipi hili la kamanda Cover?kama uko serious sana jiunge jeshini kule ndo hakuna dhihaka!